You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wabunge wa Marekani wakutana na Dalai Lama
Wabunge wa Marekani wamekutana na kiongozi wa kidini wa Tibet, Dalai Lama, na serikali yake iliyo uhamishoni India.
Wanaharakati nchini Kenya wapinga ongezeko jipya la kodi
Raia nchini Kenya walikusanyika nje ya jengo la bunge kupinga ongezeko la kodi zenye utata.
Ipi hatima ya Ulaya baada ya uchaguzi wa bunge la Ulaya?
Katika Maoni mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef amewashirikisha wadau kadhaa kuzungumzia mafanikio yaliyopatikana kwa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa bunge la Ulaya.
Chama cha Zuma cha pinga kikao cha bunge cha kumchagua rais
Kikao hicho kimepangiwa kufanyika Ijumaa, chama cha tatu kwa ukubwa Afrika Kusini cha taka uingiliaji kati wa mahakama.
Bunge la Kongo laidhinisha serikali ya Waziri Mkuu Suminwa
Mpango wa serikali mpya una thamani ya karibu dola za Marekani bilioni 93 kwa kipindi cha miaka mitano.
Chama cha MK chajaribu kuzuia vikao vya kwanza vya bunge
Zuma na Chama chake wamepeleka shauri katika mahakama ya katiba kujaribu kuzuia vikao vya kwanza vya bunge la kitaifa.
Scholz akwepa kumtaja wanaemuunga mkono Umoja wa Ulaya
Scholz akwepa kumtaja mgomea wanaemuunga mkono Umoja wa Ulaya
Wadau wa siasa walalamikia sheria za uchaguzi za Tanzania
Kumekuwepo na sauti za mara kwa mara za kudai katiba mpya nchini Tanzania.
Vyama vya mrengo wa kulia kuwa na ushawishi zaidi Ulaya?
Vyama hivyo vinataka kuwa na ushawishi vikiwa ndani ya Umoja wa Ulaya na si kujitenga kama vilivyokuwa vikinadi awali.
Rais Macron atangaza kulivunja bunge la taifa la Ufaransa
Macron avunja bunge
Muungano wa Scholz umepata pigo uchaguzi wa bunge la Ulaya
Matokeo ya awali ya bunge la Ulaya yanaonesha muungano wa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz umeshindwa vibaya.
Wapiga kura wahitimisha uchaguzi wa bunge la Ulaya
Wapiga kura katika nchi 21 za EU zikiwemo Ujerumani na Ufaransa, wanahitimisha uchaguzi wa siku nne wa Bunge la Ulaya.
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya kudhoofisha muungano wa Scholz?
Matokeo ya uchaguzi huo yanahofiwa kuwa na athari kubwa ndani ya Ujerumani na hata katika taasisi za EU mjini Brussels.
Raia milioni 400 wa Ulaya waendelea kupiga kura
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya hufanyika kila baada ya miaka mitano katika jumuiya hiyo yenye wanachama 27.
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Marekani yapitisha muswada wa kuiwekea vikwazo ICC
Hatua ya Bunge hilo ambayo imewagawanya wanasiasa wa Marekani inajiri wakati vita vikiendelea katika Ukanda wa Gaza.
Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu
Scholz amechukizwa na tabia ya watu waliopewa hifadhi nchini Ujerumani kujihusisha na uhalifu.
ANC kuunda serikali ya umoja na vyama vidogo vya kisiasa
Chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, kinategemea kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na vyama mbalimbali vya kisiasa.
Congress imepitisha muswada wa kuiadhibu mahakama ya ICC.
Bunge la Congress lapitisha muswada wa kuiadhibu mahakama ya ICC.
Congress lapitisha muswada wa kuiadhibu mahakama ya ICC
Bunge la Marekani Jumanne limepitisha muswada utakaoipelekea Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuwekewa vikwazo.
Wamexico wapiga kura katika katika uchaguzi wa kihistoria
Raia wa Mexico wamejitokeza kupiga kura leo kumchagua rais ambaye bila shaka kwa mara ya kwanza atakuwa mwanamke.
Kamanda wa zamani wa IRGC achaguliwa spika wa bunge Iran
Mohammad Baqer Qalibaf, achaguliwa kama spika wa bunge na kumaliza uvumi kwamba kamanda huyo anaweza kugombea urais.
Bunge la Kongo lamchagua Vital Kamerhe kuwa spika
Kati ya wabunge 407 waliopiga kura mapema wiki hii, 371 walipiga kura kumuunga mkono Kamerhe kugombea uspika.
Aliyemshambulia mume wa Nancy Pelosi ahukumiwa miaka 30 jela
Tukio hilo lilifanyika mnamo mwezi Oktoba mwaka 2022.
Ugumu wa maisha ajenda muhimu uchaguzi Bunge la Ulaya
Je ni vipi uchumi unaweza kushawishi uchaguzi wa bunge la Ulaya?
Raia wapiga kura katika uchaguzi wa rais nchini Panama
Rais Laurentino Cortizo wa chama cha mrengo wa kati cha PRD ndiye atakaeondoka madarakani
Togo: Chama tawala chashinda uchaguzi wa Bunge
Wakosoaji wanasema hatua hii huenda ikampa nafasi Rais Gnassingbe kuongeza muda wake madarakani
Wawakilishi wa Hamas waondoka Kairo
Wajumbe wa Hamas wameondoka mjini Kairo baada ya mazugumzo na maafisa wa Misri juu ya pendekezo la kusitisha mapigano.
Togo yapiga kura ya wabunge baada ya mageuzi ya kikatiba
Idadi ya watu waliojitokeza katika vituo vya kupigia kura katika mji mkuu wa nchi hiyo ilionekana kuwa ndogo.
Marekani yaidhinisha msaada kwa Ukraine
Muswada huo umeidhinisha pia fedha za msaada wa kibinaadamu unaohitajika kwa Gaza, Sudan na Haiti.
Sunak "Hakuna cha kutuzuia kupeleka wahamiaji Rwanda"
Serikali ya Uingereza ilikabiliwa na upinzani mkali wa sera hiyo kutoka makundi ya haki za binaadamu na kwingineko.
Bunge la Marekani kupigia kura miswada ya msaada
Kura ya miswada ya misaada kufanyika baadaye leo.
Bunge la Ulaya lapitisha mageuzi ya sera ya uhamiaji
Bunge la Umoja wa Ulaya limepitisha mageuzi ya sera za waomba hifadhi.
Miundombinu ya nishati ya Ukraine yashambuliwa na Urusi
Ikulu ya White House imelitaka Bunge la Marekani kupitisha mswada wa kufadhili ulinzi wa Ukraine.
Urusi yashambulia maeneo mbalimbali nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amezungumza kwa njia ya simu na Spika wa Bunge la Marekani
Katiba mpya Togo: Wabunge sasa kumchagua Rais
Mabadiliko hayo ya katiba yalipendekezwa na kundi la wabunge walio wengi kutoka chama kinachotawala cha UNIR.
UK: Bunge kujadili tena juu ya wakimbizi kupelekwa Rwanda
Kulingana na tangazo la kiongozi wa Bunge Penny Mordaunt, wabunge watalijadili swala hilo tarehe 15 Aprili
Scholz: Nina sababu za kutoipa Ukraine makombora ya Taurus
Scholz ameelezea hofu yake kwamba kwa kuipa Ukraine silaha kutaisukuma Ujerumani kwenye mzozo wa moja kwa moja na Urusi.
AfD cha Ujerumani kutajwa kama kundi la itikadi kali?
Kwa muda mrefu AfD kimekuwa kikivutana na idara za upelelezi nchini Ujerumani kutokana na misimamo mikali.
Mshauri wa zamani wa Trump Navarro aamriwa kuripoti gerezani
Mshauri wa zamani wa Donald Trump Peter Navarro ameagizwa kuripoti gerezani.
Bundestag yapinga kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Uamuzi huu ni pigo kwa serikali mjini Kyiv ambayo imekuwa ikiitaka Ujerumani kuipatia makombora hayo ya kisasa
Baraza la Seneti Marekani lapitisha msaada kwa Ukraine
Baraza la Seneti la Bunge la Marekani limepitisha muswada wenye kitita cha dola bilioni 95.3 unaojumuisha msaada zai
Washirika wa Imran Khan washinda vita vya bunge Pakistan
Matokeo ya uchaguzi yamechelewa kutolewa.
Wabunge watatu wa upinzani wakamatwa Senegal
Hatua hiyo ya kuahirisha uchaguzi imesababisha maandamano makubwa katika miji kadhaa nchini Senegal
Senegal: Wabunge wapitisha mswada wa kuahirisha uchaguzi
Hatua hii imezusha maandamano mapya mjini Dakar
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Maseneta wa Marekani wachapisha rasimu ya mpango wa usalama
Rais Joe Biden amewatolea wito wabunge wa Republican kuunga mkono rasimu hiyo
Je, ni wagombea wepi wanaowania uteuzi wa vyama Marekani?
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba 2024.
Sunak apata "pigo" katika kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Mpango wenye utata wa serikali ya Uingereza kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda umepata pigo Jumatatu, baada ya Baraza la
Ujerumani yatoa heshima za mwisho kwa Wolfgang Schäuble
Schäuble alihudumu kama mbunge kwa miaka 51
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 14
Ukurasa unaofuatia