Kuvunjika kwa muungano wa serikali nchini Ujerumani kulifungua njia kwa uchaguzi mpya. Kansela Olaf Scholz alipoteza kura ya imani kama ilivyotarajiwa, na uchaguzi unatarajiwa kufanyika tarehe 23 Februari.
Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi: [email protected]