Oxfam ni shirikisho la kimataifa la mashirika 20 yasiyo ya kiserikali linalofanya kazi na washirika katika mataifa zaidi ya 90 kwa lengo la kukomesha dhuluma zinazosababisha umasikini.