You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Siasa za Ujerumani: Uchaguzi wa mapema wanukia
Scholz amekanusha madai kwamba yeye ndiye alisababisha kuvunjika kwa muungano wa vyama vitatu makusudi
Die Linke chatangaza wagombe uchaguzi wa mapema Ujerumani
Chama cha Die Linke kimewachagua kwa kauli moja wagombea katika uchaguzi wa mapema wa mwakani nchini Ujerumani.
Merz: Ningekuwa Kansela ningefanya makubaliano na Trump
Kiongozi wa chama cha CDU cha Ujerumani amesema angekuwa Kansela angejikita katika kutafuta makubaliano na Donald Trump.
Upinzani Ujerumani wataka kura ya imani na serikali
Viongozi wa kigeni wameonyesha utulivu, wakisema misukosuko ya kisiasa Berlin inadhihirisha demokrasia inafanya kazi.
Serikali ya Ujerumani yasambaratika
Hatua hiyo ya Scholz iliufikisha ukingoni muungano tawala wa vyama vitatu na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi mpya.
Viongozi wa dunia wampongeza Donald Trump
Viongozi mbalimbali wa dunia wamejitokeza kumpongeza Donald Trump kwa ushidi wake dhidi ya Kamala Harris.
Trump, Harris waunguruma jimboni Pennsylvania
Pennsylvania ina uwezo wa kufanikisha ama kuzima azma ya wagombea urais wakati wa uchaguzi mkuu mnamo Novemba 5 .
Marekani yaamua kati ya Donald Trump na Kamala Harris
Wapigakura wanakabiliwa na chaguo gumu kati ya Donald Trump wa Republican na Kamala Harris wa Democratic.
Ujerumani inaweza kukabiliwa na uchaguzi wa mapema
Madai yanazidi kuongezeka kwamba serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Kansela Olaf Scholz inakaribia kuporomoka.
Mashambulizi ya Israel yawauwa watu 10 Gaza
Mashambulizi ya makombora ya Israel yamesababisha vifo vya watu 10 Jumatatu huko Gaza, huku wizara ya afya inayoendeshwa
Baerbock awasili Kiev kusisitiza mshikamano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amezuru Ukraine Jumatatu kusisitiza "uungwaji mkono thabiti".
Ujerumani yaagiza kufungwa kwa balozi tatu ndogo za Iran
Jamshid Sharmahd, aliyekuwa akiishi Marekani na ambaye alitekwa nyara na maafisa usalama wa Iran huko Dubai, alinyongwa.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Harris na Trump warushiana vijembe kwenye kampeni Wisconsin
Wagombea urais wa vyama vya Democratic Republican nchini Marekani wameendelea na kampeni siku 6 kabla ya uchaguzi.
Hakuna Imani!: Muungano tawala Ujerumani hatarini kuvunjika
Muungano wa serikali wa Ujerumani unakabiliwa na mvutano na ukosefu wa kuaminiana miongoni mwa wanachama wake.
Ujerumani yataka kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na India
Ujerumani inataka kukuza ushirikiano na India katika sekta za ulinzi. Inataka pia kuyaleta majeshi ya nchi hizo karibu.
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Mbaroni kwa kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel
Raia wa Libya amekamatwa nchini Ujerumani kwa shutuma za kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel mjini Berlin.
Biden yuko Berlin kwa mazungumzo ya Ukraine na M. Kati
Na kukiwa na uchaguzi wa rais wa Marekani ambao unazua wasiwasi kuhusu nguvu yake katika utatuzi wa vita hivyo baadae.
Je, Marekani itaendeleza ushirika na Ulaya baada ya Biden?
Rais Joe Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush kutunukiwa Tuzo ya Federal Cross of Merit.
Biden kukutana na viongozi wa Ulaya Ijumaa
Rais wa Marekani Joe Biden atafanya ziara nchini Ujerumani Ijumaa ambapo atakutana na Kansela Olaf Scholz mjini Berlin.
Yvonne Aki-Sawyerr, mshindi wa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Meya wa Freetown, Sierra Leone, Yvonne Aki-Sawyerr, ndiye mshindi wa Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika 2024.
Wafanyakazi wazidisha masaibu ya kampuni ya Volkswagen
VW inakabiliwa na hali ngumu ya kifedha, wakati huo huo, wafanyakazi wanadai mishahara ya juu na usalama wa ajira.
Kremlin: Putin yuko tayari kwa mazungumzo na Kansela Scholz
Kauli ya Peskov ilikuwa ikijibu taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani.
Rais Biden kufanya ziara fupi nchini Ujerumani wiki ijayo
Ziara ya awali ya Biden nchini Ujerumani ilikuwa ifanyike kati ya Oktoba 10 na 12, 2024.
Ujerumani inahitaji kuongeza wanajeshi
Ujerumani inahitaji wanajeshi wengine wasiopungua 35,000 ili kukidhi mahitaji mapya ya Jumuiya ya kujihami ya NATO
Ujerumani yaahidi msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine
Zelensky amekutana mapema Ijumaa na kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis huko Vatican.
Scholz kufanya ziara Uturuki
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atafanya ziara nchini Uturuki wiki ijayo kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan.
Ukaguzi wa mipakani kuendelea Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema Ujerumani itaendelea na udhibiti wa mipaka yake hadi Ulaya it
Bunge la Ujerumani kujadili ulinzi wa Mahakama ya Katiba
Wabunge wa Ujerumani watajadiliana kuhusu pendekezo la kuimarisha ulinzi wa Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo Alhamis, wak
Mkutano wa kilele kuhusu Ukraine huko Ramstein waahirishwa
Mkutano wa ngazi ya juu kuhusu Ukraine uliopangwa kufanyika katika mji wa Ramstein nchini Ujerumani waahirishwa.
Mkutano wa kuujadili usalama wa Ukraine waahirishwa
Mkutano wa usalama wa Ukraine uliopangwa kufanyika katika kambi ya jeshi ya Ramstein nchini Ujerumani umeahirishwa
Umetimia mwaka mmoja tangu mashambulizi ya Oktoba 7
Takriban watu 3,500 walishiriki maandamano hayo mjini Berlin japo baadhi walijaribu kuvuruga amani.
Mshukiwa mkuu wa milipuko ya Cologne akamatwa Ufaransa
Mshukiwa muhimu kuhusiana na mfululizo wa milipuko katika mji wa magharibi wa Cologne amekamatwa mjini Paris, Ufaransa.
Scholz: Bado tunakabiliwa na changamoto kwenye muungano
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameeleza kuwa muungano wa nchi hiyo umepiga hatua licha ya kuwa bado kuna changamoto.
Kansela Scholz asema muungano wa Ujerumani umekamilika
Kansela wa Olaf Scholz amesema muungano wa Ujerumani umefanikiwa na umekamilika lakini yapo mapungufu.
Ujerumani yaadhimisha miaka 34 ya muungano
Ni miaka 34 tangu Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi zilipoungana na kuwa taifa moja.
Ujerumani yazitaka Iran, Hizbullah kutoishambulia Israel
Scholz amezitolea wito Iran na Hizbullah kuacha kuishambulia Israel, akionya Iran inatishia vita vya ukanda mzima.
Uingereza kutanua ushirikiano wa ulinzi na Ujerumani
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anatarajiwa kufanya ziara wiki ijayo mjini Brussels.
Scholz asema hatoipa Ukraine makombora ya Taurus
Kauli ya Scholz ameitoa licha ya Kyiv kuwahimiza washirika wake wa Magharibi kuipa silaha ili kukabiliana na Urusi.
Kiongozi wa chama cha CDU, Friedrich Merz, kugombea ukansela
CDU na CSU zasema lengo lao kuu ni kuiondoa madarakani serikali iliyopo na kuirejesha Ujerumani mahala pazuri
Viongozi Asia ya Kati waitaka Ujerumani kuwatambuwa Taliban
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Asia ya Kati wameishauri Ujerumani kurejesha mahusiano na utawala wa Taliban.
Scholz azuru Kazakhstan kuimarisha biashara, ugavi wa mafuta
Scholz alisisitiza umuhimu wa kukuza biashara ya mafuta na malighafi nyingine za nchi hiyo ya zamani ya Kisovieti.
Ujerumani hatopeleka makombora ya masafa marefu Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake haitapeleka makombora ya masafa marefu ya Taurus nchini Ukraine.
China yaionya Ujerumani baada ya meli yake kupita Taiwan
Meli hiyo ya kivita ya Ujerumani ilipita katika njia hiyo inayoshindaniwa ikitoka Korea Kusini kuelekea Ufilipino.
Trump, Harris wafungana mdahalo wa televisheni
Kura za utafiti wa maoni ya wapiga kura zinaonyesha mchuano ni mkali kati ya Trump na Harris kuelekea Novemba 5.
Scholz na upinzani walumbana bungeni kuhusu uhamiaji
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema upinzani unalitumia swala la uhamiaji kama mtaji wa kisiasa nchini humo.
Ujerumani yaijaribu EU kwa kuongeza udhibiti mipakani
Udhibiti wa mipaka unatarajiwa kuanza wiki ijayo na kudumu kwa miezi sita, na tayari unatishia umoja wa Ulaya.
Ujerumani yawasilisha mswada wa kuharakisha uhamishaji
Pendelezo la kuharakisha uhamiaji linakuja wiki mbili baada ya shambulizi baya la kisu mjini Solingen.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 47
Ukurasa unaofuatia