You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Je, madai ya Musk na Weidel yana ushahidi?
Elon Musk alishiriki mazungumzo ya wazi kwenye X na Alice Weidel, mgombea wa ukansela wa chama cha AfD.
Maandamano ya kupinga chama cha AfD kufanyika Ujerumani
Wanaharakati wa Ujerumani wafanya maandamano kukipinga cha chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ujerumani cha AfD.
Ujerumani kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya Syria
Watu watatu wameuawa katika mkanyagano nje ya msikiti mmoja mjini Damascus
Zelensky atoa wito kwa utengenezaji wa droni Ukraine
Volodymyr Zelensky amewahimiza washirika wake kuunga mkono utengenezaji wa droni za kivita nchini Ukraine.
Congress yathibitisha ushindi wa Trump
Uchaguzi wa Novemba 9 ulimpa Trump ushindi wa kishindo dhidi ya Kamala miaka minne baada ya kukataa kushindwa.
Ujerumani: Kauli za Musk haziwezi kuisumbua Ujerumani
Msemaji wa serikali ya Ujerumani asema kauli za Musk haziwezi kuisumbua Ujerumani.
Faeser: Baadhi ya Wasyria huenda wakalazimika kurejea kwao
Ofisi ya Wizara za Mambo ya Nje na ya Ndani zinafanya kazi pamoja ili kupata picha kamili ya hali ilivyo Syria
Ulaya kuisaidia Syria ya baada ya Assad
Ujerumani na Ufaransa zimeahidi kuendelea kuisaidia Syria wakati ikianza ujenzi mpya wa taifa baada ya Assad.
Urusi yakataa azma ya Ujerumani kupata kiti cha kudumu UN
Urusi imekataa azma ya Ujerumani kupata kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Mawaziri wa Kigeni wa Ujerumani, Ufaransa waizuru Syria
Juhudi za mataifa ya Magharibi kuhakikisha usalama wa maslahi yao baada ya kuondoshwa madarakani Bashar al-Assad.
Changamoto za kisiasa zinazoisubiri Ujerumani mwaka 2025
Kudhibiti uhamiaji na kulinda utawala wa sheria ni baadhi tu ya masuala ambayo yataangaziwa sana Ujerumani mwaka 2025.
Uchaguzi wa Ujerumani: Kwanini Elon Musk anaipigia debe AfD?
Wito wa Elon kwa wapigakura kukichagua chama cha AfD lilizusha dhoruba ya ukosoaji nchini Ujeurmani. Kwani wanataharuki?
Kansela Scholz: 'Tunaweza kufanya 2025 kuwa mwaka mzuri'
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelihimiza taifa kushikamana katika hotuba yake ya Mwaka Mpya.
Merz akemea kauli za Musk kuunga mkono AfD Ujerumani
Merz akemea kauli za Musk kuunga mkono AfD katika uchaguzi Ujerumani
Wajerumani walio nje wamehimizwa kupiga kura Februari 23
Wajerumani walio nje ya nchi wamehimizwa kujiandikisha mapema kwa uchaguzi wa Februari
Jinsi Kansela Olaf Scholz alivyopoteza umaarufu wake
Kwa nini serikali ya Ujerumani imepoteza umaarufu wakati wa uongozi wa Kansela Olaf Scholz?
Waziri Faeser aionya AfD kutumia tukio la Magdeburg kisiasa
AfD iliandaa mkutano Magdeburg Jumatatu, ambapo polisi walisema ulihudhuriwa na takriban watu 3,500.
Shambulio la Magdeburg linavyochochea mrengo mkali Ujerumani
Waangalizi wanatahadharisha kuhusu namna wafuasi wa mrengo mkali Ujerumanji wanavyojiimarisha kutokana na tukio hilo.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ahimiza umoja
Steinmeier, pia aliwapongeza maafisa wa usalama na wataalamu wa afya kwa kazi kubwa waliyofanya
Hotuba ya Krismasi: Rais wa Ujerumani atoa wito wa umoja
Rais wa Ujerumani pia ametuma ujumbe kwa vijana wa nchi hiyo. Amewaambia kuwa wanahitajika katika maeneo mengi
Idadi ya waliojeruhiwa kwenye mkasa wa Magdeburg yaongezaka
Idadi ya waliojeruhiwa kwenye mkasa wa Magdeburg yaongezaka
Serikali kuanzisha uchunguzi baada ya shambulio la Magdeburg
Watu watano waliuawa na wengine 200 walijeruhiwa katika soko a Krismasi lililokuwa limejaa watu kwenye mji wa Magdeburg
Ujerumani yachunguza maonyo kuhusu muuaji wa soko la Krismas
Imearifiwa kuwa mamlaka zilionya kuhusu hatari ya mshambuliaji huyo tangu mwaka 2023 lakini hazikuchukua hatua.
Wajerumani wakasirishwa na Musk kuinga mkono AfD
Wadau wa siasa za mrengo wa wastani wamelaani kauli hiyo ya Musk, wakimtaka kuacha kujiingiza katika siasa za Ujerumani.
Mkwamo bunge la Marekani: Warepublican wawakaidi Trump, Musk
Marekani inakabiliwa na kufungwa kwa serikali baada ya Warepublican kukataa mpango wa kuzuia hali hiyo.
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge waandamizi wa kihafidhina katika bunge la Ujerumani, Bundestag, wamewataka wanadiplomasia mjini Damascus kuzungu
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Scholz kukutana na Merz katika midahalo kabla Februari 23
Scholz kukutana na Merz katika midahalo miwili kabla ya uchaguzi wa Februari 23
Spika wa Zamani, Nancy Pelosi amelazwa nchini Ujerumani
Nancy Pelosi amelazwa hospitalini baada ya 'kupata jeraha' la kuanguka katika akiwa safarini Luxembourg
Rais wa Ujerumani Steinmeier azuru Lesotho
Steinmeier anamaliza ziara yake barani Afrika kama rais wa kwanza wa Ujerumani kuwasili Lesotho
Scholz aliomba bunge kuitisha kura ya imani
Scholz anatarajia kushindwa kwenye kura hiyo ya imani bungeni.
Korea Kusini: Maafisa zaidi wapigwa marufuku ya kusafiri
Mamia ya watu wamefanya maandamano nje ya Bunge la Taifa, wakitaka Rais Yoon Suk Yeol ashitakiwe
Israel yaripotiwa kuishambulia Syria mara 300
Duru zina sema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 300 dhidi ya Syria tangu kuanguka kwa utawala wa Assad.
Merz aahidi kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi
Mgombea wa Ukansela wa chama cha CDU cha Ujerumani ameahidi kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Merz awasili Ukraine kwa mazungumzo
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Ujerumani cha CDU, Friedrich Merz, amewasili nchini Ukraine kwa ajili ya maz
Chama cha Social Democratic chazindua kampeni ya uchaguzi
Je, Kansela Olaf Scholz atafanikiwa tena kupata ushindi kama ilivyokuwa katika uchaguzi wa mwaka 2021?
Upinzani Korea Kusini wawasilisha ombi la kumshitaki rais
Vyama vya upinzani nchini Korea Kusini vyawasilisha ombi la kumshitaki rais
Ujerumani yaitahadharisha China dhidi ya kuisaidia Urusi
Annalena Baerbock amemtahadharisha mwenzake wa China Wang Yi dhidi ya kuisaidia Urusi kivita katika mzozo wa Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz azuru Ukraine
Ujerumani imekuwa taifa kinara wa Ulaya kuisaidia kijeshi na kiuchumi Ukraine tangu ilipovamiwa na Urusi Februari 2022.
Ujerumani yatoa tahadhari kwa mvutano wa NATO na Urusi
Waziri wa mambo ya ndani Ujerumani atahadharisha juu ya kuongezeka mvutano kati ya NATO na Urusi
Ujerumani: Mzozo kuhusu hati ya kukamatwa kwa Netanyahu
Mvutano umeibuka kati ya wanasheria na wanasiasa wa Ujerumani kuhusu hatma ya Netanyahu.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyopewa uzito na magazeti ya Ujerumani.
Ujerumani: Hali ya Sudan inapaswa kupewa uzito
Waziri wa uchumi na maendeleo wa Ujerumani Svenja Schulze ameitaka dunia kuipa uzito hali mbaya ya kiutu Sudan.
Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa ya Ulaya
Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Novemba 29 na yatahusu mzozo wa mpango wa nyuklia wa Iran, kufuatia azimio.
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka msimamo mkali Ujerumani
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka ufuwasi wa msimamo mkali Ujerumani
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Ujerumani: Hujuma imefanyaka katika mawasiliano ya baharini
Ujerumani imesema hujuma imefanyika kuharibu nyaya za mawasiliano za chini ya bahari
Robert Habeck kuchaguliwa kukiongoza chama cha Kijani
Robert Habeck kuchaguliwa kukiongoza chama cha Kijani
Chama cha Kijani cha Ujerumani kimechagua mwenyekiti mwenza
Chama cha Kijani cha Ujerumani walimchagua Felix Banaszak na Franziska Brantner kuwa wenyekiti wenza wapya.
Ujerumani: Kura ya imani kuitishwa Desemba 16
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amethibitisha kwamba kura ya imani itaitishwa tarehe 16 mwezi Desemba.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 47
Ukurasa unaofuatia