You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Malawi yapokea fidia ya dola mil.11 za athari za ukame
Mvua zilizonyesha kati ya mwezi Novemba na Aprili zikiambatana na hali ya El Nino zimechangia hali mbaya ya hewa Malawi.
Idadi ya vifo Pakistan kufuatia mafuriko yapindukia 200
Mamlaka za Pakistan zimesema zaidi ya watu 200 wamekufa kufuatia mafuriko makubwa tangu Julai.
UN yaelezea wasiwasi kuhusu mazingira ya hofu Venezuela
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi kuhusu "mazingira ya hofu" baada ya uchaguzi nchini Venezuela.
Mvua kubwa Sudan zasababisha vifo vya watu wasiopungua 68
Mamlaka zinasema makaazi ya watu yamebomolewa, mitaa kufurika na kuiongezea masaibu zaidi nchi hiyo iliyozongwa na vita.
Mahakama yaruhusu udukuzi wa simu Munich
Mahakama imetupilia mbali malalamiko dhidi ya udukuzi wa mazungumzo ya simu za wanaharakati wa mazingira.
Wimbi la joto kali lazusha kizaazaa kila kona ya dunia
Wafanyakazi bilioni 2.41 duniani ambao ni asilimia 70 ya nguvu kazi ya ulimwengu, wanakabiliwa na joto kali.
Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu 17 kaskazini mwa Sudan
Mvua kubwa iliyonyesha kaskazini mwa Sudan, imesababisha vifo vya watu 17 na majengo kuporomoka, katikati mwa mapigano.
Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh azikwa
Kifo cha Ismail Haniyeh kimezua wasiwasi juu ya mustakabali wa hali ya usalama katika Ukanda wa Mashariki ya Kati.
Maelfu watumwa kuukabili moto wa nyika California
Maelfu ya wazimamoto wametumwa kwenda kuukabili moto wa nyika unaowaka katika jimbo California nchini Marekani.
Ofisi za umma kufungwa Iran kufuatia wimbi la joto kali
Mji mkuu Tehran umerekodi hadi nyuzijoto 42 katika kipimo cha Celsius.
UN yaonya kuwa binadamu wanaathrika na janga la joto kali
Guterres: Mabilioni ya watu wanakabiliwa na janga la joto, huku viwango vya joto vikidizi nyuzi joto 50 kote duniani.
Maporomoko ya ardhi yaua mamia Ethiopia
Watu zaidi ya 150 wamekufa kusini mwa Ethiopia Kutokana na matukio mawili ya maporomoko ya ardhi. Serikali inasema idadi hiyo inaweza kuongezeka zaidi.
Uteuzi wa baraza jipya Kenya utatuliza joto la maandamano?
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza mawaziri 11 kati ya 22 katika baraza lake jipya la mawaziri. Akihutubia taifa, kiongozi huyo ameeleza kuwa idadi ya mawaziri waliosalia itatangazwa wiki ijayo. Hata hivyo, mawaziri sita waliotimuliwa wiki iliyopita, wameteuliwa tena. Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa kutoka Nairobi Herman Manyora kujua uamuzi huo wa Rais Ruto ulivyopokelewa.
Von der Leyen kuongoza tena Halmashauri ya Ulaya
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ndugu wa Italia cha Waziri Mkuu wa Italia Giorgia kilimpinga von der Leyen.
Mwanaharakati wa mazingira ahukumiwa miezi 16 Ujerumani
Mwanaharakati wa mazingira ahukumiwa miezi 16 Ujerumani
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuu
Taka za plastiki zatumika kama malighafi mbadala kwa mbao
Wakati dunia ikipambana na ukataji miti kwa ajili za matumiyi za kibinaadamu, kiwanda hiki kinatumia taka za plastiki kama malighafi kutengeneza samani na bidhaa za ujenzi. Tazama kisha tuachie maoni yako.
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea Vita Baridi
Mataifa hayo yalitangaza makubaliano ya Marekani kuanza kupeleka silaha nzito Ujerumani kukabiliana na vitisho.
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele
NATO walitangaza msaada zaidi wa kijeshi ili kuunga mkono juhudi za Ukraine za kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Simba na Yanga zajiimarisha kuelekea msimu mpya wa soka
Kando na Clatous Chama, Yanga imewasijili Khomeini Abubakar na Boka Chadrak. Je, umeridhika na usajili wa klabu yako?
Kimbunga Beryl chasababisha uharibifu jimboni Texas
Watu wawili wauawa kutokana na athari za kimbunga Beryl jimboni Texas
Kimbunga Beryl chahama kuelekea Houston
Kituo cha Kitaifa cha kufuatilia Vimbunga cha nchini Marekani (NHC) chatoa tahadhari ya kimbunga Beryl, Texas.
Kongo yaandaa mkutano wa kilele wa misitu barani Afrika
Mkakati wa muongo wa Afrika wa kudhibiti ukataji na upandaji wa miti ulizinduliwa na Rais wa Kongo Denis Sassou Nguesso.
Joto kali laathiri muda wa swalah ya Ijumaa Saudia
Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE zimefupisha muda wa swalah ya Ijumaa kutokana na joto kali.
Idadi ya mahujaji waliofariki Saudia yafikia watu 1,301
Takriban nchi 10 ndizo zimeripoti vifo vya raia wake walioshiriki Hijjah mwaka huu.
Jumla waliokufa kwa joto hija imepindukia watu 1,000
Hija ni moja ya nguzo tano za Uislamu ambazo Waislamu wote wenye uwezo lazima wakamilishe.
Watu 3 hawajulikani walipo baada ya kutokea kimbunga Uswisi
Watu watatu hawajulikani walipo baada ya kutokea kimbunga Uswisi
Mamia ya mahujjaji wafa Makka kwa joto kali
Orokdha moja inayosambaa inaonyesha watu wasiopungua 900 wamekufa wakati wa ibaada ya Hijja iliyodumu kwa siku tano.
Mahujaji 14 wafariki kutokana na joto kali Saudi Arabia
Ibada ya Hajj ilianza siku ya Ijumaa mjini Makkah katikati ya wimbi la joto kali.
Watu 36,000 wahamishwa kufuatia mafuriko makubwa China
Mamlaka ya China imetahadharisha kuwa mvua kubwa inatabiriwa kunyesha katika mikoa kadhaa nchini humo.
Ibada ya Hijjah yaanza leo Ijumaa huko Makkah
Hijjah ya mwaka huu inafanyika katika hali ya joto kali na vita vya Gaza.
Mpinzani wa mradi wa TotalEnergies aachiliwa huru
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yalionyesha wasiwasi kuhusu hatima ya Kwikiriza baada ya kutoweka siku ya Jumanne.
Rais Joe Biden ampongeza Modi kwa kushinda uchaguzi
Marekani imeahidi kuimarisha na kuendeleza ushirikiano na India katika sekta za kiuchumi, teknolojia hadi hali ya hewa.
Uokoaji wasitishwa eneo la maporomoko Papua New Guinea
Juhudi za uokoaji zasitishwa eneo la maporomoko ya ardhi, Papua New Guinea
Ongezeko la joto duniani linaongezeka kwa kasi kubwa
Ongezeko la joto duniani linaongezeka kwa kasi kubwa
Mwaka jana ulishuhudia siku 26 zaidi za joto kali
Ulimwengu ulishuhudia wastani wa siku 26 za joto kali katika kipindi cha miezi 12 iliyopita yasema ripoti ya IFRC.
Watu wahamishwa kutoka maeneo hatari Papua New Guinea
Maelfu ya watu wanaoishi karibu na eneo kulikotokea maporomoko ya udongo nchini Papua New Guinea wametakiwa kuhama.
Manchester United yaahidi kufanya makubwa zaidi msimu ujao
Manchester United wamelipa kisasi cha fainali ya mwaka uliopita kwa kuifunga Manchester City 2-1 uwanjani Wembley.
Zaidi ya watu 2,000 wafukiwa na udongo Papua New Guinea
Wakaazi na vikosi vya uokozi wamekuwa wakitumia machepeo na mbao kuwatafuta waliofukiwa na maporomoko.
Mvua yasababisha vifo vya watu 15 Afghanistan
Shirika la mpango wa chakula limetahadharisha kuwa manusura wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu.
Mamia wahofiwa kufa kwa maporomoko Papua New Guinea
Eneo lililoathirika linasadikiwa kuwa linakaliwa na karibu wakazi 3,000.
India yapiga kura kwa awamu ya tano katikati mwa joto kali
Mamilioni ya watu katika majimbo manne walipiga kura chini ya joto kali linalofikia nyuzijoto 40 kipimo cha Celsius.
India kukabiliwa na wimbi jingine la joto kali kwa wiki 3
Mji mkuu wa New Delhi utakuwa na viwango vya juu vya nyuzijoto 45C mwishoni mwa juma, kulingana na utabiri.
Ujerumani yatakiwa kuimarisha sera za ulinzi wa mazingira
Ujerumani, imeweka shabaha ya kupunguzwa kwa uzalishaji wa gesi chafu katika kipindi cha mwaka 2024 hadi 2030.
Dhoruba kali yaupiga mji wa Houston na kuwaua watu wanne
Eneo la kusini-mashariki mwa Texas linashuhudia hali hii kwa mara ya pili mnamo mwezi huu.
Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala Yetu leo inaangalia athari zilizotokana na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa Tanzania.
Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi
Tumezungumza na afisa wa kitengo cha kushughulikia majanga katika shirika la Msalaba Mwekundu Kenya kuhusu hali ilivyo.
Shughuli zasimama Brazil huku mvua ikiendelea kunyesha
Rais Luiz Inacio Lula da Silva amekiri kuwa mamlaka nchini humo haikuwa imejitayarisha kwa janga kubwa kama hilo.
Kwa nini India haipigii debe mabadiliko ya tabianchi?
Asilimia 80 ya watu wa India wanaishi katika maeneo yanayoweza kukumbwa na maafa makubwa ya mabadiliko ya tabianchi.
Leverkusen kukamilisha msimu bila kupoteza mechi
Nyota wa tenis raia wa Chile Alejandro Tabilo ampiku Novak Djokovic na kushinda mashindano ya tenis ya Italian Open.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 26
Ukurasa unaofuatia