You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vita vya Israel-Hamas vyazusha hofu ya ugaidi katika EU
Kamishna wa Masuala ya Ndani wa Umoja wa Ulaya ametoa tahadhari kwamba umoja huo unakabiliwa na kitisho cha ugaidi.
Waislamu wajihisi hawako salama UIaya
Vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza vimesababisha waumini wa dini ya Kiislamu barani Ulaya kuishi na wasiwasi mkubwa.
Israel yatangaza kupanua operesheni zake Gaza
Kulingana na Wizara hiyo inayodhibitiwa na Hamas, hadi sasa watu 13,000 wakiwemo maelfu ya watoto tayari wameuawa Gaza.
Mtuhumiwa mauaji ya kimbari Rwanda kufikishwa Mahakamani
Sosthene Munyemana anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 huko Butare nchini Rwanda.
Israel yakabiliana na Hamas huko Gaza
Wizara ya Afya ya Gaza imesema Wapalestina 10,812, wakiwemo watoto 4,412, wameuawa huku wengine 26,905 wakijeruhiwa.
Kongamano la kibinaadamu kwa ajili ya Gaza laanza Ufaransa
Kongamano hilo litajadili masuala ya misaada ya chakula, vifaa vya matibabu na nishati pamoja na kuwahamasisha wafadhili
Macron aanza ziara ya kimkakati katika eneo la Asia ya Kati
Ziara ya Macron huko Kazakhstan ni ya kwanza kwa rais wa Ufaransa tangu mwaka 1994.
Ufaransa yafunga viwanja 12 vya ndege, Ikulu ikihofia ugaidi
Mamlaka nchini humo zimechukuwa uamuzi wa kufunga jumla ya viwanja vya ndege 12 pamoja na Ikulu maarufu ya Versailles.
Mawaziri wa Uhamiaji wa EU wajadili usalama na uhamiaji
Wanakutana huku Ulaya ikiwa katika tahadhari kubwa ya usalama baada ya mashambulizi ya Ufaransa na Ubelgiji
Misri, Ufaransa yataka misaada ifikishwe Gaza
Serikali ya Misri na ile ya Ufaransa imetaka kuharakishwa kwa misaada ya kibinaadamu kuingia kwenye Ukanda wa Gaza.
Polisi wafanya msako baada ya kitisho cha bomu Ufaransa
Polisi wafanya msako baada ya kitisho cha bomu Ufaransa.
Chad kuwasindikiza wanajeshi wa Ufaransa kutoka Niger
Kutoka N'Djamena wanajeshi wa Ufaransa wanaweza kuondoka kwa njia ya ndege na vifaa vyao vya kisasa.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger
Watawala wa kijeshi wa Niger wanafuata nyayo za nchi jirani ya Mali na Burkina Faso.
Marekani yasitisha msaada wa dola milioni 500 kwa Niger
Marekani imesitisha msaada huo kwa Niger kufuatia mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Bazoum.
Wanajeshi wa Ufaransa wameanza kuondoka nchini Niger
Haya yanajiri wakati Marekani ikikatiza msaada kwa Niger
Jeshi la Ufaransa laanza operesheni za kuondoka Niger
Wanajeshi wa Ufaransa wamekuwa wakiishi kwa mashaka tangu serikali mpya ilipowataka waondoke.
Balozi wa Ufaransa aondoka Niger
Viongozi wa kijeshi wa Niger wamesema ni hatua njema kuelekea uhuru wa taifa lao.
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Ufaransa kuwaondoa wanajeshi wake walioko Niger
Mvutano baina ya Ufaransa na koloni lake la zamani umekuwa ukiongezeka katika siku za karibuni hasa baada ya mapinduzi.
Maandamano ya kupinga ukatili wa polisi kufanyika Ufaransa
Maandamano ya kupinga ukatili wa polisi kufanyika Ufaransa
Mfalme Charles III kuimarisha uhusiano na Ufaransa
Charles yupo Ufaransa kwa ziara ya siku tatu ambayo awali ilikuwa ifanyike mwezi Machi lakini ikasogezwa mbele.
Waziri wa ndani wa Ufaransa kujadili kuhusu uhamiaji Italia
Baada ya idadi kubwa ya waomba hifadhi kuwasili wiki iliyopita katika kisiwa cha Italia cha Lampedusa.
Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kuendeleza vikwazo kwa Iran
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zitaendelea kuiwekea vikwazo Iran kutokana na kuendelea kuzalisha silaha za nyuklia.
Niger yaituhumu Ufaransa kutaka kuishambulia
Utawala wa kijeshi wa Niger umeituhumu Ufaransa kwa kukusanya wanajeshi na vifaa katika mataifa jirani.
Burkina Faso ni adui wa sera za Ufaransa, si watu wake
Kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore, amesema nchi yake siyo adui wa watu wa Ufaransa.
Ufaransa yajadili kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Waandamanaji wamekuwa wwakiandamana mjini Niamey kuishinikiza Ufaransa iwaondoe wanajeshi wote kutoka Niger.
Maelfu waandamana kutaka Ufaransa iondoe vikosi vyake Niger
Maelfu ya raia waliandamana kwenye mji mkuu wa Niger, Niamey Jumamosi 02.09.2023 wakiitaka Ufaransa iondoe vikosi vyake
Macron asema anazungumza na Bazoum kila siku
Macron amesema hawatambui waliofanya mapinduzi ya kijeshi nchini humo
Niger yajiandaa na maandamano makubwa ya kuipinga Ufaransa
Umoja wa Mataifa umesema leo kuwa unatafuta mawasiliano na viongozi wa mapinduzi
Jeshi lamtangaza Brice Nguema kama kiongozi wa mpito Gabon
Brice Nguema alikuwa mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais tangu mwaka 2020 japo amehusishwa na kashfa za ufisadi.
China yataka usalama wa Bongo uhakikishwe
Gabon yatakiwa kuhakikisha usalama wa Rais Ali Bongo baada ya kundi la majeshi kutangaza kuchukuwa madaraka.
Niger, Burkina Faso na Mali zaunda jeshi la pamoja
Rais Macron asema ECOWAS inatelekeza majukumu yake kwa mwendo wa kinyonga.
Wahamiaji 6 wamekufa Ufaransa wakijaribu kuingia Uingereza
Wahamiaji 6 wamefariki dunia baada ya boti kuzama kwenye ujia wa maji wakijaribu kuingia Uingereza kutokea Ufaransa.
Zaidi ya wahamiaji 600 waokolewa Bahari ya Mediterania
Meli ya hisani ya Ocean Viking imewaokoa zaidi ya wahamiaji 600 waliokuwa kwenye boti ndogo katika bahari ya Mediterania
MFS: Ufaransa na Italia huwanyanyasa wahamia
Ufaransa na Italia huwanyanyasa wahamiaji katika kivuko cha Ventimiglia.
Utawala wa kijeshi waitisha maandamano makubwa Niger
Kumekuwepo wasiwasi wa usalama kufutia maandamano hayo huku Ufaransa ikidai kuhakikishiwa usalama kwa balozi za kigeni.
Ndege za kwanza kutoka Niger zatua Paris
Ndege mbili za kwanza zilizokuwa zinawabeba raia wa Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya walioondolewa kutoka Niger, zim
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ujerumani yaishukuru Ufaransa kwa kuwaondoa raia wake Niger
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameishukuru Ufaransa kwa kusaidia kuwaondoa raia wake Niger.
Ufaransa kuwaondoa raia wake Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa imetangaza mpango wa kuwaondoa Niger raia wake na wa Ulaya baada ya mapinduzi ya kijeshi kufanyika nchini humo.
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger kufuatia mapinduzi
Vikwazo vya kiuchumi vya ECOWAS kuwaathiri raia wa Niger
Ombi la Niger la mkopo wenye thamani ya dola milioni 51 limetupiliwa mbali na Benki ya ukanda huo kutokana na vikwazo.
Niger yaituhumu Ufaransa kutaka kumrejesha Bazoum madarakani
Rais Mohamed Bazoum ambaye ni mshirika wa Magharibi, ameshikiliwa na jeshi tangu siku ya Jumatano wiki iliyopita.
Macron kuongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi ya Niger
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, leo ataongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi yaliyotokea Niger.
Jenerali Abdourahamane Tiane ajitangaza kiongozi mpya Niger
Mkuu kikosi cha ulinzi wa rais nchini Niger Jenerali Abdourahamane Tiani, amejitangaza kuwa Rais wa baraza la mpito la n
Watu 6 hatiani kwa mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mahakama nchini Ubelgiji jana imewatia hatiani ya mauaji watu sita na wengine wawili kwa madai ya ugaidi, baada ya kesi
Zelensky afanya mazungumzo na mkuu wa NATO
Zelensky amesema amezungumza leo na katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg.
Mshauri wa Macron aituhumu China kupeleka silaha Urusi
Mshauri wa Macron aituhumu China kupeleka silaha Urusi.
Maandamano ya kupinga ukatili wa polisi yafanyika Ufaransa
Takribani watu 2,000 walikusanyik mjini Paris jana na kufanya maandamano mengine ya kupinga ukatili wa polisi.
Jinsi historia ya ukoloni Ufaransa yachangia ghasia za sasa?
Suala la ubaguzi wa rangi ambalo linahusishwa na ukoloni wa zamani wa Ufaransa mara nyingi hupuuzwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 19
Ukurasa unaofuatia