You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia watu 28
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 28
Urusi yaunga mkono hatua za Syria dhidi ya waasi
Urusi yasema inaunga mkono hatua zinazochukuliwa na Syria dhidi ya waasi
Syria yajipanga kulipiza mashambilio ya waasi mkoani Hama
Volker Türk ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa vita Kaskazini magharibi mwa Syria.
Vikosi vya Syria vyaendelea kukabiliana na waasi Aleppo
Jeshi la Syria na vikosi vya Urusi wameshambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi mashariki mwa mji wa Aleppo
Ruto na Museveni kupatanisha Ethiopia na Somalia
Marais William Ruto na Yoweri Museveni watwaa jukumu la kuzipatanisha Ethiopia na Somalia
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria
Urusi yazidisha mashambulizi dhidi ya waasi wa Syria baada ya kusonga mbele
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Viongozi wa kanda ya Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Watu 16 wauawa katika shambulizi la anga mjini Aleppo
Ripoti zilisema mapema kwamba waasi nchini Syria sasa wanadhibiti sehemu kubwa ya mji wa Aleppo.
Kenya na Uganda kusuluhisha mzozo wa Ethiopia na Somalia
Ethiopia na Mogadishu zinavutana kufuatia mipango ya Ethiopia ya kujenga bandari kwenye jimbo la Somaliland.
Jeshi la Syria lazidiwa, laikimbia Aleppo
Jeshi la Syria lilisema Jumamosi kuwa dazeni kadhaa ya wanajeshi wake waliuwawa kufuatia shambulizi lililofanywa kaskazi
Waasi nchini Syria wadhibiti eneo kubwa la Aleppo
Waasi hao wameendelea kushambulia vikosi vya serikali vinavyosaidiwa na Iran na Urusi tangu siku ya Jumatano.
Jeshi lafunga uwanja wa ndege, barabara mjini Aleppo
Wapiganaji wa upinzani walifanya operesheni ya kushtukiza na kuwaacha wanajeshi wa serikali wakiwa wameduwaa!
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 20
Mvua kubwa ilisababisha maporomoko hayo yaliyofunika vijiji sita katika wilaya ya Bulambuli.
Waasi wa Syria waingia mji wa Aleppo
Mapigano hayo ni mmoja ya makali zaidi katika miaka kadhaa, huku watu 255 wakiripotiwa kuuawa.
Benki ya Uganda yasubiri ripoti kuhusu wizi wa dola mil. 17
Wadukuzi, waliojitambulisha kama ''waste'' wanaripotiwa kudukuwa mifumo ya teknolojia ya habari ya Benki ya Uganda.
Mamia bado wanatafutwa kufuatia maporomoko ya udongo Uganda
Familia nyingi zingali katika mashaka ya kuwapata jamaa zao wakiwa hai baada ya vijiji vitano kufunikwa na tope.
Mamia ya watu wauawa katika mapigano ya Syria
Kundi la waasi la Tahrir-al-Sham na washirika wake wamezuwia barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Damascus na Aleppo.
Watu 13 wafariki baada ya maporomoko ya ardhi Uganda
Picha na vidio za watu wakichimba kwenye matope kuwatafuta waathirika zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Watu 30 wahofiwa kufa kwenye maporomoko ya ardhi Uganda
Msemaji wa Shirika la Msalaba Mwekundu la Uganda John Cliff Wamala amesema miili 13 imepatikana.
Mizozo, majanga yaongeza wakimbizi wa ndani Barani Afrika
Hadi mwishoni mwa mwaka 2023, watu milioni 35 walikuwa wameyakimbia makazi yao kwenye mataifa mbalimbali ya Afrika.
Rwanda na DRC zasaini hati muhimu kuendeleza juhudi za amani
DW imezungumza na mtaalamu wa masuala ya usalama Didier Bitaki kuhusu mazungumzo hayo ya Angola, Rwanda na DRC.
Congo na Rwanda zapiga hatua katika mchakato wa amani
Mapema Agosti Angola iliongoza upatanisho ulioimarisha hali katika uwanja wa vita mashariki mwa Congo.
Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake
Uganda imekabiliwa na ukosoaji wa kimataifa baada ya kumteka Besigye na kumfikisha mahakamani Kampala.
Kenya ilifahamu kuhusu kukamatwa Besigye: Serikali ya Uganda
Kauli za Uganda zimejiri siku mbili baada ya afisa mwandamizi wa Kenya kusema Nairobi imeanzisha uchunguzi
Maoni: Usalama wa majengo Afrika Mashariki
Usalama wa Muundo: Kwa nini ni muhimu katika usanifu wa majengo na ujenzi? Je, kwa nini ni muhimu kuzingatia sana usalama wa kimuundo wa majengo kabla kuanza kutumiwa kwa shughuli za kibinadamu? Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.
Mpinzani wa Uganda Kizza Besigye amepandishwa kizimbani
Mwanasiasa Kizza Besigye wa Uganda apandishwa kizimbani mahakama ya kijeshi
Mke wa mwanasiasa Besigye asema mumewe ametekwa nyara
Mamlaka za Uganda zimesema zinachunguza madai ya kutoweka kwa Besigye.
Kuna ongezeko la aina mpya ya mbu sugu Afrika Mashariki
Ongezeko la aina mpya ya mbu sugu Afrika mashariki latishia vita dhidi ya Malaria
Hezbollah yapambana na wanajeshi wa Israel, Lebanon
Hali ya kibinaadamu nchini Lebanon inazidi kuwa mbaya kutokana na mapigano kati ya Hezbollah na Israel.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Angela Mdungu amekukusanyia yale yaliyoandikwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani kuhusu bara la Afrika wiki hii. Sikiliza hapa kufahamu zaidi.
Waasi wa Houthi wa Yemen wazilenga meli za Marekani
Waasi wa Houthi walianza kuzishambulia meli hizo wakidai kulipiza kisasi kufuatia vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza.
Waasi wa Niger wanaotaka kuachiliwa kwa Bazoum wajisalimisha
Bazoum amekuwa chini ya kifungo cha nyumbani yeye na mkewe katika mji mkuu wa Niamey.
Walioachana na wizi wa mifugo huko Afrika Mashariki
Wizi wa mifugo ni uhalifu wa kijadi miongoni mwa jamii za wafugaji wa kuahamahama hasa kwenye eneo la Afrika Mashariki.
Waasi wa M23 wakaribia jimbo lenye utajiri wa madini Kongo
Waasi hao wamekuwa wakilikaribia jimbo lenye utajiri wa dhahabu, coltan na madini mengine tangu mwishoni mwa 2021.
Marekani yashambulia maeneo ya waasi wa Kihouthi Yemen
Marekani imesema ndege zake za Kivita zimefanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya waasi wa Kihouthi nchini Yemen.
Waasi wanaotaka kujitenga wauwa wanajeshi 14 Pakistan
Mashambulizi ya bomu yaliyofanywa na kundi linalopigania kujitenga nchini Pakistan yamewaua watu 26.
Waasi wauwa 26 Baluchistan
Mashambulizi ya bomu yaliyofanywa na kundi linalopigania kujitenga nchini Pakistan yameuwa watu 26.
Timu ya kusaka amani Kongo kuzinduliwa rasmi Jumanne
Timu ya kusaka amani Kongo kuzinduliwa rasmi Jumanne.
Kitengo cha kufuatilia amani Kongo kuanza kuhudumu Jumanne
Angola inayosimamia mazungumzo ya amani Kongo kuongoza kitengo cha kufuatilia makubaliano ya amani nchini humo.
Radi yaua 14 katika Kanisa kambi ya waikimbizi Uganda
Polisi nchini Uganda imesema watu 14 wameuawa na radi katika kambi ya wakimbizi.
ICC kuthibitisha mashitaka dhidi ya mbabe wa kivita Kony
Kony mwenye, 63, amekuwa akisakwa na mahakama hiyo yenye makao makuu yake mjini The Hague tangu mwaka 2005.
Kamanda wa waasi Thomas Kwoyelo ahukumiwa miaka 40 gerezani
Mahakama nchini Uganda imemhukumu kamanda wa waasi Thomas Kwoyelo kifungo cha miaka 40 kwa makosa ya uhalifu wa kivita.
Uganda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa Mpox
Wizara ya afya imeagiza majopo yaliyohusika katika kupambana na UVIKO-19 kwenye ngazi za wilaya kuitwa tena.
M23 waukamata tena mji wa Kalembe mashariki ya Kongo
Wapiganaji wa M23 wameonekana wakishika doria kwenye mji huo muhimu wilayani Walikale vimeeleza vya ndani.
M23 wauteka mji wa Kalembe mashariki ya Kongo
Duru za Usalama zimesema M23 wamekuwa wakiwasukuma nyuma wapiganaji Wazalendo kwa kutumia silaha zao zote.
Vifo kutokana na lori la mafuta Uganda vyapanda hadi watu 15
Idadi ya vifo kutokana na mkasa wa lori ya mafuta Uganda yapanda hadi watu 15
Watu 11 wafa katika mlipuko wa lori la mafuta Uganda
Katika mkasa wa kusikitisha watu 11 wakiwemo watoto wawili wamekufa nchini Uganda, baada ya lori la mafuta kupata ajali na kisha kulipuka. Kama ilivyo kawaiwa katika ajali za namna hiyo, watu walikimbilia lori lilipoanguka ili kujaribu kuchota mafuta. #kurunzi
Lori ya mafuta yalipuka Uganda na kuwauwa watu 11
Lori la mafuta yalipuka Uganda na kuwauwa watu 11
Watu 11 wafariki Uganda baada ya lori la mafuta kulipuka
Taarifa ya Polisi imeongeza kuwa baadhi ya miili iliharibiwa na moto kiasi cha kutotambulika.
Mahakama ya kijeshi Uganda yawatia hatiani wapinzani 16
Mahakama ya kijeshi Uganda yawatia hatiani wanachama 16 wa upinzani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 56
Ukurasa unaofuatia