You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
11.01.2025
11 Januari 2025
Zaidi ya watu 100,000 wakimbia makaazi yao Kivu ya Kaskazini
09.01.2025
9 Januari 2025
Chad yasema shambulio lililotibuliwa lilifanywa na walevi
07.01.2025
7 Januari 2025
Korti ya kijeshi Uganda yasikiliza tena kesi ya Besigye
06.01.2025
6 Januari 2025
Karua Kumtetea Besigye kwenye mahakama ya kijeshi Uganda
06.01.2025
6 Januari 2025
Waasi wa M23 wa DRC, waudhibiti mji wa kimkakati wa Masisi
03.01.2025
3 Januari 2025
Ruto na Museveni wahimiza ushirikiano barani Afrika
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Mkutano wa kuboresha kilimo Afrika wafanyika Uganda
Mkutano wa kuboresha kilimo Afrika wafanyika Uganda
Mkutano wa Kilele wa CADDP ulilenga kutoa msukumo kwa ushirikishwaji wa wanawake na vijana.
Kongo yakifungia kituo cha habari cha Al Jazeera
Kongo yakifungia kituo cha habari cha Al Jazeera
Serikali ya Kongo imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera baada ya mahojiano yake na kiongozi wa waasi wa M23.
Jeshi la Kongo latangaza kuuchukuwa tena mji wa Masisi
Jeshi la Kongo latangaza kuuchukuwa tena mji wa Masisi
Wapiganaji "Wazalendo" wanaoungwa mkono na jeshi walichukua udhibiti wa mji muhimu wa Masisi kutoka uthibiti wa M23.
UN: Wasyria wapate haki baada ya Assad kuanguka
UN: Wasyria wapate haki baada ya Assad kuanguka
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Geir Pedersen amesema Wasyria wanapaswa kupata haki katika wakati huu.
Waasi wa M23 wajaribu kuushambulia mji wa Sake
Waasi wa M23 wajaribu kuushambulia mji wa Sake
Taarifa zinasema, jeshi la kongo lilifaulu kuzima jaribio la M23 la kuushambulia mji wa Sake ulioko karibu na Goma.
Wahuthi wanaendelea kuwa mwiba kwa Israel
Wahuthi wanaendelea kuwa mwiba kwa Israel
Wachambuzi wanasema waasi wa Kihuthi wanasalia kuwa mwiba mchungu kwa Israel licha ya kudhoofisha nguvu ya Tehran kikand
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Vita nchini Kongo yaongeza mzozo wa afya ya akili
Makundi zaidi ya 100 yanapmbania eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenye utajiri wa madini
Uganda kuandaa mazungumzo kati ya DRC na makundi ya waasi
Lakini DR Kongo yasema haijatoa ridhaa ya kufanya majadiliano yoyote na makundi iliyoyaita ya kigaidi.
UN yaishtumu Uganda kuwasaidia waasi wa M23
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imelilaumu jeshi la Uganda kuwaunga mkono waasi wa M23 Mashariki mwa Kongo, Uganda yakanusha.
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Miongoni mwa shutuma kwa Uganda ni kuwaruhusu waasi wa M23 na vikosi vya Rwanda kuitumia ardhi yake kuivamia Kongo
Muelekeo mpya wa waasi wa M23 utawafikisha wapi?
Mwishoni mwa wiki, waasi wa M23 walichukua udhibiti wa miji ya Kanyabayonga na Kirumba.
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Maudhui yote (2789) kwenye mada hii