You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Ni kutokana na tuhuma za kushiriki katika maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini humo.
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo kwa tuhuma za kushiriki maandamano
Uganda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa Mpox
Wizara ya afya imeagiza majopo yaliyohusika katika kupambana na UVIKO-19 kwenye ngazi za wilaya kuitwa tena.
Kifo cha Sinwar kinamaanisha ni kwa Hamas, Gaza, Lebanon?
Wachambuzi wanasema kifo cha Yahya Sinwar siyo pigo la mwisho kwa Hamas
19.10.2024: Matangazo ya jioni
Sikiliza matangazo ya jioni ya DW Kiswahili
Israel yaendelea kuishambulia Gaza baada kifo cha Sinwar
Jeshi la Israel laendelea na mashambuzi yake Gaza, siku moja baada ya kifo cha kiongozi wa kundi la Hamas, Yahya Sinwar.
Mashirika: Adhabu ya kifo Tanzania ifutwe
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yametoa wito kwa mamlaka nchini humo kutupa jicho na kufuta adha
Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake, Nasrallah
Kundi la wanamgambo la Hezbollah limethibitisha kuwa kiongozi wake Hassan Nasrallah ameuawa katika shambulizi la Israel
Uchunguzi wa kifo cha aliyemshambulia Rais Azali wafungwa
Mwanajeshi huyo alipatikana amekufa asubuhi iliyofuata katika chumba cha mahabusi alikokuwa akizuiliwa peke yake.
Japan yamuachia mfungwa aliyetumikia adhabu ya kifo
Hakamada ni mfungwa wa tano aliyekabiliwa na hukumu ya kifo kuruhusiwa kesi yake isikilizwe upya nchini Japan.
Ufaransa yaapa kuimarisha usalama baada ya mwanafunzi kuuawa
Mshukiwa mwenye asili ya Morocco anadaiwa kuuacha mwili wake kwenye msitu mmoja mjini Paris kukamatwa nchini Uswisi.
Watu 37 wahukumiwa kifo kwa jaribio la mapinduzi DRC
Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwahukumu kifo watu 37, wakiwemo raia watatu wa Marekani.
Mahakama Kongo yawahukumu kifo watu 37 waliojaribu mapinduzi
Mahakama ya Kijeshi nchini Kongo imewahukumu adhabu ya kifo watu 37 kwa kushiriki njama ya mapinduzi
Uturuki kuchunguza kifo cha raia wake Ukingo wa Magharibi
Uturuki yaanzisha uchunguzi wa kifo cha mwanaharakati aliyeuawa kwenye maandamano Ukingo wa Magharibi.
Kibao azikwa, Masauni ashinikizwa kujiuzulu
Ali Mohamed Kibao alikuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na alikutwa amefariki eneo la Ununio jijini Dar es Salaam.
Watu zaidi ya 400 wanyongwa Iran mwaka huu
Wasiwasi waongezeka kuhusu utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Iran.
Kiongozi wa waasi Kongo ahukumiwa kifo
Korti ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu adhabu ya kifo kiongozi wa kundi la waasi la Congo R
Muendesha mashitaka: Washukiwa wa M23 wahukumiwe kifo
Muendesha mashitaka Congo ataka washukiwa wa M23 wahukumiwe kifo
Belarus yamuhukumu Mjerumani adhabu ya kifo
Belarus yamuhukumu Mjerumani adhabu ya kifo
Israel yathibitisha kifo cha kamanda wa ngazi ya juu Hamas
Jeshi la Israel limesema Kamanda wa ngazi za juu wa Hamas Rafa Salama amethibitishwa kuuwawa katika shambulio la anga.
Mahakama ya Kijeshi nchini DRC yawahukumu kifo askari 22
Mahakama ya Kijeshi nchini DRC yawahukumu kifo askari 22
Wanajeshi wawili wahukumiwa kifo kwa uoga nchini Congo
Wanajeshi wengine wanaoshtakiwa wanatarajiwa kupandishwa kizimbani leo.
Hezbollah yashambulia maeneo ya Israel
Shambulio hilo la Hezbollah ni moja kati ya mashambulizi makali zaidi tangu mapigano yalipoanza mpakani Oktoba 8.
Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo
Wanajeshi 25 wamehukumiwa kifo kwa hatiani ya "kumkimbia adui" wakati wa mapigano na kundi la waasi la M23.
Wairan wapiga kura kumchagua rais mpya
Iran inafanya uchaguzi katikati ya sintofahamu ya umma kutokana na hali ngumu ya kiuchumi na kijamii.
Mahakama yabatilisha hukumu ya kifo cha rapa maarufu Iran
Mnamo mwezi Aprili, mahakama ya Iran ilimhukumu adhabu ya kifo mwanamuziki huyo kwa kosa la "ufedhuli"
Mtu mmoja auawa katika shambulizi la anga la Israel
Haya yanajiri huku wizara ya afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas ikisema watu 37,266 wameuawa katika eneo hilo.
Mamilioni wajitokeza Iran kumuaga Rais Ebrahim Raisi
Mamilioni wajitokeza Iran kumuaga Rais Ebrahim Raisi
Ayatollah Ali Khamenei awaongoza Wairan kumuaga Raisi
Ayatollah Ali Khamenei awaongoza Wairan kumuaga Raisi
Msukosuko wa ndege wasababisha kifo cha mtu mmoja
Mtu mmoja amekufa na wengine 30 wamejeruhiwa katika mtikisiko mkubwa wakati wa safari ya ndege ya shirika la Singapore A
Nchi za Ghuba zaomboleza kifo cha rais wa Iran
Miili ya viongozi hao pamoja na maafisa wake imepatikana baaada ya saa nzima ya utafutaji katika eneo la milima.
Rambirambi zamiminika kutokana na kifo cha Rais wa Iran
Risala za rambirambi zatolewa kutoka kote duniani kutokana na kifo cha Rais wa Iran Ebrahim Raisi
Iran yaomboleza kifo cha Ebrahim Raisi
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kupata ajali.
UN yachunguza kifo cha mfanyakazi wake Rafah
Umoja wa Mataifa umetangaza kuanza kwa uchunguzi wa kifo cha mfanyakazi wake aliyeuwawa Gaza
UN yataka uchunguzi kuhusu kifo cha mwanaharakati wa Libya
Umoja wa Mataifa umesema umesikitishwa sana na kifo cha mwanaharakati Siraj Dughman aliyekuwa kizuizini.
Wakenya waomboleza kifo cha mkuu wa majeshi
Kenya maombolezo baada ya mkuu wa majeshi na maafisa tisa waandamizi jeshini kufariki dunia kwa ajali ya helikopta.
DRC:Wanajeshi hatarini kuhukumiwa kifo kwa tuhuma za "woga"
Mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na Kanisa Katoliki yameitaka serikali kuachana kabisa na adhabu ya kifo.
Miito yaanza kutolewa Urusi ya kurejeshwa adhabu ya kifo
Wakosoaji lakini wanahofia kwa kura Urusi inatumia sheria dhidi ya ugaidi na itikadi kali kuwaminya wapinzani.
Uingereza yakanusha ripoti za kifo cha Mfalme Charles III
Balozi za Uingereza mjini Moscow na Kyiv zimekanusha ripoti za zilizodai kuwa Mfalme Charles wa III amekufa.
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
Al-Qaeda nchini Yemen yatangaza kifo cha kiongozi wake
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
Familia ya mbunge Cherubin DRC yapinga ripoti ya kifo chake
Wakili wa familia amesema ripoti hiyo ya mahakama ya DR Kongo ni kichekesho na matusi kwa mwanasiasa huyo wa upinzani.
Iran yafanya uchaguzi wa bunge
Wairani walishuka vituoni siku ya Ijumaa kuchaguwa wabunge wao ikiwa ni mara ya kwanza tangu maandamano ya mwaka 2022.
Wahouthi waripoti kifo cha kwanza cha raia
Wahouthi wameripoti kifo cha kwanza cha raia katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa Marekani na Uingereza.
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 22.02.2024
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Urusi yakataa uchunguzi wa kimataifa kuhusu kifo cha Navalny
Kremlin imekanusha madai ya mke wa Navalny Yulia Navalnaya kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin amehusika na kifo hicho.
Mabalozi wa Urusi wahojiwa kufuatia kifo cha Navalny
Umoja wa Ulaya umeapa kuiwajibisha Moscow baada ya kifo cha kiongozi huyo wa upinzani
EU yatafakari vikwazo vipya kufuatia kifo cha Navalny
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wameahidi kuwawajibisha waliohusika na kifo cha mkosoaji huyo maarufu wa Kremlin
Uchambuzi: Kifo cha Navalny pigo kwa upinzani nchini Urusi
Upinzani nchini Urusi umepoteza nyota yake inayong'a zaidi kwa kifo cha ghafla cha Alexei Navalny.
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 10
Ukurasa unaofuatia