You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Gambia
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Gambia yamkamata mwandishi kwa madai ya kumchafua rais
Polisi ya Gambia imemkamata mwandishi habari aliyeripoti kwamba rais wa nchi hiyo ana mipango ya kuachia madaraka.
Gambia yashikilia uamuzi wa kupiga marufuku ukeketaji
Mashirika yamesema hatua hiyo inathibitisha kwa mara nyingine ahadi za Gambia katika masuala ya haki za binadamu.
Wabunge nchini Gambia waunga mkono ripoti dhidi ya ukeketaji
Wabunge 35 wamepiga kura kuidhinisha ripoti dhidi ya ukeketaji wanawake nchini Gambia.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Kenya na Uganda zafikia makubaliano ya kibishara na kuondowa tofauti zao kuhusu masuala mbali mbali, Rais wa Zanzibar akabidhiwa ripoti ya mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali ya mwaka 2022/2023 na Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Gambia Ousman Sonko ahukumiwa miaka 20 Jela kwa uhalifu dhidi ya Ubinadfamu na mahakama ya Uswisi. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki Hii.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Harakati za kisiasa za Jacob Zuma kuelekea uchaguzi mkuu wa Afrika ya Kusini pia zimeangaziwa.
Ousman Sonko wa Gambia afungwa miaka 20 jela
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Gambia Ousman Sonko kuhukumiwa miaka 20 jela.
Waziri wa zamani wa Gambia ahukumiwa kifungo jela Uswisi
Sonko ametiwa hatiani kwa makosa kadhaa yaliyorikodiwa wakati akiwa waziri kati ya mwaka 2000 na 2016.
OIC yalaani vita vya Gaza na kuhimiza vikwazo kwa Israel
Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu, OIC, imelaani kile imekitaja kuwa "mauaji ya halaiki" huko Gaza.
HRW yawataka wabunge wa Gambia kutoruhusu ukeketaji
HRW imewataka wabunge wa Gambia kupinga kubadilisha sheria ya kupiga marufuku ukeketaji wa wanawake na wasichana.
Bassirou ziarani Mauritania, Gambia
Rais Faye wa Senegal anatarajiwa kuwasili Gambia akitokea Mauritania ikiwa ziara yake ya kwanza ya kiserikali.
Kameruni yatinga hatua ya mtoano baada ya kuilaza Gambia 3-2
Kameruni sasa itachuana na Super Eagles Nigeria katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny mjini Abdijan siku ya Jumamosi.
AFCON: Senegal yaicharaza Kameruni 3-1
Kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast, Senegal iliicharaza Kameruni mabao 3-1.
Senegal yaanza vyema AFCON, Cameroon, Algeria zakwaa kisiki
Timu ya soka ya Senegal imeanza vyema michuano ya mataifa ya kombe la Afrika, AFCON, kwa kuicharaza Gambia mabao 3-0.
Ndege ya kikosi cha Gambia AFCON yapata hitilafu angani
Hayo yameelezwa na Shirikisho la Kabumbu nchini Gambia kupitia taarifa yake iliyochapishwe kwenye mtandao wa Facebook.
Waziri wa zamani wa Gambia kupandishwa kizimbani Uswisi
Ousman Sonko anatuhumiwa kusimamia mashambulizi ya kupangwa yaliyotekelezwa na vyombo vya usalama vya Gambia.
Watoto 289 walikufa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterania
UNICEF imeeleza kuwa idadi ya vifo hivyo ni mara mbili zaidi ya iliyorekodiwa katika miezi sita ya kwanza ya mwaka 2022.
Gambia yagundua uwepo wa homa ya mafua ya ndege
Ni wiki moja baada ya nchi jirani ya Senegal kutangaza mripuko wa homa hiyo kwa wafugaji wa kuku
Gambia yaunda jopo kuchunguza jaribio la mapinduzi
Gambia ilisema Jumatano wiki iliopita ilizuia jaribio la mapinduzi na kuwashikilia baadhi ya wanajeshi:
Ugonjwa wa Ebola wazua taharuki Uganda
Vifo kutokana na vita nchini Ethiopia na mapinduzi ya kijeshi Burkina Faso pia ni mambo yaliyozingatiwa magazetini.
Taarifa ya Habari Asubuhi:09.10.2022
Watu 3 wauawa katika mlipuko wa daraja la Crimea. Korea Kaskazini yafanya majaribio zaidi ya makombora. Wapalestina wawili wauawa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa.
Gambia yaanza vyema kuelekea michuano ya 2023
Gambia yaichapa Chad bao 1-0 kuelekea michuano ya 2023
Cameroon yaizima Comoro AFCON, Gambia yatinga robo fainali
Cameroon ilipambana kuishinda Comoro 2-0 huku Gambia ikifuzu robo fainali kwa kuipiga Guinea 1-0.
Adama Barrow aahidi kuweka ukomo wa muhula wa urais Gambia
Rais wa Gambia Adama Barrow ameahidi kuweka ukomo wa muhula wa urais kabla ya kumalizika kwa muhula wake wa pili.
Adama Barrow atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais Gambia
Adama Barrow ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Gambia ,ingawa wapinzani wake walipinga matokeo yaliyotangazwa.
Rais Adama Barrow atangazwa mshindi wa urais Gambia
Rais Adama Barrow ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Gambia na kushinda muhula wa pili.
05.12.2021 - Matangazo ya Jioni
Matokeo ya awali Gambia Adama Barrow aongoza kwa kura chache
Mfumo wa kupiga kura nin wa kipekee nchini nGambia ambapo watu wanatumia vipoande vya marumaru badala ya karatasi.
Raia wa Gambia leo wanapiga kura ya kumchagua Rais
Licha ya kuondoka kutoka nchini Gambia mwaka wa 2017, Jammeh bado ana ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi huo.
Mji wangu: Serekunda Gambia
Serekunda ni kitovu cha utamaduni na uchumi wa Gambia. Mwanamuziki wa kufoka Ali Cham maarufu kama Killa Ace nchini Gambia anatutembeza katika mji huo wake. Je maisha ya vijana yakoje katika mji huo? Hebu tazama tupate kujua mengi.
Myanmar yawasilsha ripoti yake katika mahakama ya ICJ
Mahakama ya ICJ yasema kuwa Myanmar imewasilisha ripoti yake ya kwanza katika mahakama hiyo kuhusu jamii ya Rohingya .
Maandamano dhidi ya Rais Barrow yafanyika Gambia
Barrow aonekana kubadilisha mipango ndani ya muungano wa vyama
Vikao vya kusikiliza unyama wa Jammeh vyatimiza mwaka
Raia wa Gambia wamefuatilia kwa karibu wakati ambapo mashahidi kadhaa wamemshutumu rais wao wa zamani.
Bunge la Marekani lafungua njia kwa Trump kuchunguzwa
Hatua ya Bunge la Marekani kuidhinisha uchunguzi wa kumuondoa Trump haikuzingatia haki na ni kinyume na katiba.
Tume ya ukweli yaanza kazi Gambia
Watetezi wa haki za binadamu wanaushutumu utawala kwa kufanya utesaji dhidi ya wapinzani na waandishi habari
Mji wangu, Harare
Mji wa Harare umepewa jina la kupangwa la Sunshine City yaani, mji unaong’aa mithili ya Mwanga wa jua. Si kwa sababu ya jua linaloangaza mwaka mzima lakini kwa sababu ya tabasamu za furaha na ukarimu wa wakaazi wake. Brita masalethulini anakutambulisha kwa mitaa inayopendeza ya Harare.
Mtambue Sundiata Keita
Sundiata Keita ni mfalme wa Mali aliyeacha muongozo wa utawala wa kukumbukwa katika mataifa ya Mali, Guinea, Senegal na Gambia.
Siasa za kizalendo ni kitisho kwa uhuru wa vyombo vya habari
Norway yaendelea kushikilia nafasi ya juu katika uhuru wa vyombo vya habari
Gambia yasitisha adhabu ya kifo
Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza kusitisha adhabu ya kifo katika nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
Afrika katika picha: Matukio makuu ya 2017
Zimbabwe na Gambia ziliwaondoa marais wao, ghasia za baada ya chaguzi Kenya na Liberia, mashambulio Somalia na Nigeria.
Rais wa Ujerumani akamilisha ziara yake barani Afrika
Ziara hiyo ya Steinmeier ni ya kwanza barani Afrika tangu awe rais. Alizitembelea Ghana na Gambia.
Wagambia wapiga kura wakitaraji mabadiliko
Raia wa Gambia wanawapigia kura wabunge leo kwa mara ya kwanza tangu kuondoka madarakani kwa kiongozi wa muda mrefu
Haki kwa waliopotea wakati wa Jammeh Gambia
Wagambia sasa wameanza kutafuta haki kwa ndugu na jamaa walipotea
Mahakama yamzuwia Zuma kujiondoa ICC
Hukumu hiyo inamtaka Rais Jacob Zuma na mawaziri wake "kuliondoa mara moja" tamko la kujitoa ICC.
Yahya Jammeh akausha makasha yote Gambia
Jammeh akimbilia uhamishoni na adha katika viwanja vya ndege vya Afrika kusini
Kumbe Barrow alimkubalia Jammeh aondoke na utajiri 'wake'
Wakati bei ya Rolls Royce moja ni dola 250,000, raia wengi wa Gambia wanaishi kwa chini ya dola 2 tu kwa siku.
Barrow amteua mwanamke kuwa makamu wa rais
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemteua Fatoumata Jallow-Tambajang kuwa Makamu wa Rais.
Rais Adama Barrow kurejea nchini Gambia
Yahya jammeh amekwenda Guinea ya Ikweta pamoja na familia yake
Hakuna makubaliano ya kumpa kinga ya kutoshtakiwa Jammeh
Viongozi wa mataifa ya Afrika magharibi wakanusha kumpa kinga ya kutoshtakiwa Yahya Jammeh wakati wa mazungumzo yao
Jammeh akubali kuachia madaraka
Viongozi wa Afrika Mafgharibi wako Gambia
Viongozi wa Afrika Mafgharibi wako Gambia kumpa kiongozi wa nchi hiyo nafasi ya mwisho kujiuzulu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 3
Ukurasa unaofuatia