You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nagelsmann ashinda mechi ya kwanza na timu ya taifa
Julian Nagelsmann ameshinda mechi yake ya kwanza kama kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani kwa ushindi wa 3-1 ugenini.
Nagelsmann kocha mpya wa Ujerumani kuelekea Euro 24
Nagelsmann amechukua nafasi ya Hansi Flick, aliyetimuliwa baada ya matokeo mabaya mfululizo katika mechi za kirafiki.
Baada ya Flick, ni Nagelsmann ama Klopp?
Uamuzi huu unajiri ikiwa imesalia miezi 9 kabla ya kuanza michuano ya kuwania kombe la Ulaya hapa nchini Ujerumani.
Pato la taifa Ujerumani kunywea hadi asilimia 0.5 mwaka 2023
Taasisi ya uchumi ya Ujerumani imesema pato jumla la nchi hiyo, linatarajiwa kupungua hadi kwa 0.5% mwaka huu.
Ujerumani inaweza kufanya vyema EURO 2024
Ujerumani imepata matokeo yasiyoridhisha katika mechi zake za kimataifa hali iliyowafanya mashabiki kupoteza hamasa.
EU kuchukuwa hatua kuelekea euro ya kidijitali
Wakosoaji wanahoji uhitaji wa euro ya kidijitali na kuonya juu ya hatari kubwa.
Ujerumani imejiandaa vipi kwa EURO 2024
Michuano ya kuwania kombe la Ulaya la 2024 inatazamiwa kuanza nchini Ujerumani mwaka mmoja kutoka sasa.
Kocha Flick awataka wachezaji kujituma kabla ya Euro 2024
Timu ya Ujerumani ina mechi za kimataifa za kirafiki kabla ya kufanyika mashindano ya Euro 2024 nchini Ujerumani
Tiketi za yuro 49 zitaleta ahueni kwenye usafiri nchini Ujerumani?
Ujerumani imezindua tiketi mpya ya yuro 49 , baada ya muda ya malalamiko ya abiria ya bei kubwa za tiketi na changamoto nyinginezo. Kampuni ya reli ya Ujerumani nayo inapigania uhai wake, kwa njia ya kupunguza nauli. Je, uzinduzi wa tiketi hii uliofanywa na kampuni ya Deutsche Bahn imeleta suluhu ya mashaka yaliyopo? Sikiliza makala ya Sura ya Ujerumani kwa mengi zaidi.
Mataifa masikini yaidai G7 yuro trilioni 13.
Oxfam yazitaka nchi za G7 kulipa madeni ya uharibifu yaliyoahidiwa miaka mingi iliyopita kwa nchi maskini.
Ujerumani itaipa Ukraine msaada wa kijeshi euro bilioni 2.7
Ujerumani imesema kuwa itaipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wenye thamani ya zaidi ya euro bilioni 2.7
Ujerumani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi euro bilioni 2.7
Wizara ya Ulinzi ya Ujerumani imesema leo kuwa inajiandaa kupeleka msaada mpya wa vifaa vya kijeshi nchini Ukraine.
Mkutano wa mawaziri wa fedha wa G7 waanza nchini Japan.
Miongoni mwa maswala mengine.mawaziri wa fedha wa G-7 pia wanajadili jinsi ya kuisaidia Ukraine.
Ujerumani yaahidi euro bilioni mbili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi
Katika mazungumzo juu ya hali ya hewa ya Petersberg, Ujerumani imezitaka nchi kote ulimwenguni kuongeza shabaha zao za nishati mbadala, huku ikiahidi Euro bilioni mbili za ziada katika kupamba na athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani.
Mfumko wa kanda ya euro kupungua lakini kwa shakashaka
Lagarde amesema kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa barani Ulaya itapungua ingawa mwelekeo huo unakabiliwa na changamoto
Harambee Stars yarudi dimbani baada ya marufuku ya FIFA
Baada ya marufuku kutoka kwa shirikisho la Soka Duniani FIFA katika kandanda ya kimataifa, Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars itashuka dimbani hapo kesho kuchuna na Iran katika uga wa Azadi mjini Tehran. Kwa haya na mengine mengi karibu viwanjani.
Kane avunja rekodi ya Wayne Rooney
Timu ya taifa ya kandanda, England inaendelea kusajili matokeo mazuri katika mechi za kufuzu kwa michuano ya Euro 2024.
Sikiliza taarifa ya habari ya asubuhi hapa.
Ufaransa yaisambaratisha Uholanzi 4-0
Hii ni mechi ya kwanza ya Mbappe tangu alipotajwa kuwa nahodha wa "Les Bleus" akimpokea Hugo Lloris aliyestaafu.
Mkuu wa Benki Kuu ya Ulaya: Kanda ya Euro iko salama
Kanda ya sarafu ya Euro inaweza kuhimili kwa sababu ina mtaji imara na uwezo thabiti
Flick: Hatufikiri sana kuhusu ubingwa wa mashindano ya EURO
Flick ameeleza kuwa mjadala juu ya "One Love" ulikuwa na athari hasi kwenye maandalizi ya kikosi hicho nchini Qatar.
Zaidi ya mataifa 30 yametoa ahadi ya msaada wa kibinadamu
Zaidi ya mataifa 30 yametoa ahadi ya msaada wa kibinadamu wa karibu Euro bilioni 1.2 kwa Yemen katika mkutano wa UN
Mfumko wa bei Ulaya umevuka kilele chake, hakuna mdororo
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imerekebisha makadirio yake ya kiuchumi huku ikitaraji uchumi kukua.
Tadesco amwaga wino Ubelgiji
Shirikisho la Soka la Ubelgiji limemteua Domenico Tedesco kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa.
Ujerumani yatoa msaada wa kukabiliana na mfumuko wa bei
Ujerumani yakubali kutoa yuro bilioni 65 kukabiliana na mfumuko wa bei
Hatua za benki kuu ya Ulaya ECB za kuudhibiti mfumuko wa bei
Kwa mara ya kwanza baada ya muda wa zaidi ya miaka 20, pengo limekuwa kubwa kati ya mishahara na kiwango cha mfumuko wa bei katika nchi za Ulaya. Hata hivyo, benki kuu ya Ulaya ECB bado inasuasua kuchukua hatua za kuudhibiti mfumuko wa bei katika nchi zinazotumia sarafu ya Euro. Makala ya Mwangaza ya Ulaya inaangazia wasiwasi kutokana na gharama za maisha kupanda sana.
Ujerumani ilijikwaa wapi katika fainali dhidi ya England?
England ndio mabingwa wapya wa kandanda barani Ulaya upande wa wanawake baada ya kuwafunga Ujerumani 2-1 ugani Wembley. Ujerumani ambao wameweka rekodi ya ubingwa huo wa Ulaya walikuwa wanapigiwa upatu kwa mara nyengine kulishinda taji hilo. Lakini ilikuaje karata ikageuka? Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa kandanda na mwandishi wa zamani wa DW Sekione Kitojo.
Ujerumani kuvaana na Engalnd fainali ya Euro
Ujerumani imeichapa Ufaransa mabao 2-1 katika mchezo wa pili wa nusu fainali na kujikatia tiketi ya fainali
DW Michezo: Wanariadha wavunja rekodi mjini Eugine
Rekodi za dunia zavunjwa wakati mashindano ya riadha ya dunia yakimazilika mjini Eugine Marekani // Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya - Euro 2022 kwa wanawake yanaingia nusu fainali, Je nani atatinga fainali ya Wembley? Msikilize Bruce Amani
Euro 2022 kwa wanawake yatinga nusu fainali
England watakabana koo na Sweden wakati Ujerumani wataangushana na Ufaransa kutafuta tiketi ya kucheza fainali Wembley
Ufaransa yatinga nusu fainali mashindano ya EURO 2022
Ufaransa itakwaana na Ujerumani katika nusu fainali Jumatano Julai 27.
23.07.2022 - Matangazo ya Asubuhi
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya baada ya kuibamiza Ubelgiji bao 1-0.
22.07.2022 - Matangazo ya Asubuhi
Ujerumani yatinga nusu fainali Euro ya wanawake
Timu ya taifa ya Ujerumani ya kandanda la wanawake imetinga nusu fainali ya michuano ya Euro 2022 kuibamiza Austria 2-0.
Umoja wa Ulaya wapania kuimarisha ulinzi wa nchi wanachama
Kamishna wa maswala ya ulinzi wa Jumuiya hiyo ametahadharisha juu ya hatari ya kuwapo pengo la ulinzi.
England wawachaza Ireland Kaskazini 5-0 mechi ya mwisho
Austria imeweka miadi na Ujerumani robo fainali baada ya kuiondoa timu iliyojaa nyota ya Norway.
Ufaransa yatinga robo fainali baada ya kuipiga Ubelgiji 2-1
Ufaransa itakutana mshindi wa pili katika kundi C ambalo linaongozwa na Uholanzi, huku Sweden akishika nafasi ya 2.
Croatia kuanza kutumia sarafu ya euro kuanzia Januari 2023
Mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels kutoa idhini ya mwisho
Euro 2022: Ujerumani yafuzu kuingia kwenye robo fainali
Jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mechi zake kwenye mashindano ya kandanda yanayoendelea huko England.
Euro 2022: Uholanzi na Sweden zatoka sare
Mabingwa watetezi wa michuano ya Euro ya wanawake Uholanzi wametoka nyuma na kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya Sweden
Wachezaji wa zamani watumai kuipa Ujerumani ushindi
Taifa hilo limeshuka viwango hivyo kwenye michezo, baada ya mataifa mengine kuchukua ushindi.
England wapata ushindi mwembamba dhidi ya Austria
England wameanza kampeni yao ya kuwania ubingwa wa Ulaya kwa wanawake kwa kupata ushindi mwembamba wa bao moja kwa bila
Ujerumani yatoa Euro 29 milioni EAC
Ujerumani imekuwa na mahusiano ya karibu na Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika masuala ya miradi ya maendeleo.
Michuano ya kombe la EURO kwa wanawake kuanza England
Michuano hii ilikuwa ifanyike mwaka uliopita lakini ikaahirishwa kutokana na janga la corona.
Ujerumani yaipa Rwanda Euro mil. 56 kuboresha mazingira
Makubaliano hayo yamesainiwa wakati wa ziara ya waziri wa ushirikiano wa maendelea Svenja Schulz nchini Rwanda.
EU kumimina mabilioni ya Yuro Afrika
Mradi wa Umoja wa Ulaya unaelekea kulenga kuukabili ule wa China duniani
Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa euro milioni 70
Katika kuadhimisha miaka 60 ya mahusiano kati ya Ujerumani na Tanzania, serikali ya Ujerumani imetoa kiasi cha Euro milioni 71 kwa serikali ya Tanzania fedha zitakazotumika katika shughuli mbalimbali za maendeleo. Florence Majani anaripoti kamili.
Umoja wa Ulaya watoa yuro Bilioni moja kuisaidia Afghanistan
Mamilioni ya raia wa Afghanistan wanahitaji msaada wa dharura wa mahitaji muhimu
Kocha Bayern Munich apinga Kombe la Dunia kila miaka miwili
Julian Nagelsmann ameongoza maafisa na makocha katika kupinga kuandaliwa kwa kombe la dunia kila baada ya miaka miwili.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 10
Ukurasa unaofuatia