You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Putin afanya mazungumzo ya nadra na Waziri Mkuu wa Slovakia
Fico aliandika kwenye Facebook baada ya kukutana na Putin kwamba, aliwaeleza viongozi wa EU kuhusu ziara yake.
Viongozi wa EU watahadharisha kuhusu mustakabali wa Syria
Kundi la Kiislamu la Hayat Tahrir al-Sham (HTS), lililomuondoa al-Assad, limedai kuwa linataka kuwakilisha Syria nzima.
Viongozi wa EU wasema wataendelea kuiunga mkono Ukraine
Mkutano huo pia utajadili changamoto za kiusalama na kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya Trump kurejea madarakani.
Viongozi wa EU kujadili mustakabali wa utawala mpya Syria
Mataifa ya umoja wa Ulaya yanakabiliwa na maamuzi ya namna gani ya kushughulika na uongozi mpya wa taifa hilo.
Mke na mume wafungwa zaidi ya miaka 30 kwa mauaji ya mtoto
Baba na mkewe wahukumiwa miaka zaidi ya 30 jela kwa mauaji ya mtoto wao wa kike
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Mawaziri wa EU wasaini vikwazo vipya dhidi ya Russia
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamesaini awamu ya 15 ya vikwazo vipya dhidi ya Russia.
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema mjumbe wao kuzungumza na watawala wapya wa Syria.
Waziri Mkuu wa Uingereza ziarani Norway na Estonia
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anaitembelea Norway leo Jumatatu.
Je, ongezeko la udhibiti wa mipaka linazima ndoto ya EU?
Nchi zaidi za Umoja wa Ulaya zinaanzisha ukaguzi wa ndani wa mipaka licha ya kuongezeka kwa wanachama wa Schengen.
Uingereza yajiunga na ukanda wa biashara wa Indo-Pasifiki
Uingereza sasa inatambulika rasmi kuwa mwanachama wa 12 wa kanda hiyo inayojulikana kama CPTPP.
EU yajitolea kuandaa kikosi cha kulinda amani Ukraine
Umoja wa Ulaya umejitolea kusaidia katika majadiliano ya kuandaa kikosi cha kulinda amani nchini Ukraine.
Viongozi wa Ulaya kukutana kujadili uhamiaji haramu
Shirika la kulinda mipaka ya Ulaya Frontex na lile la Polisi ya Ulaya Europol watashiriki pia mkutano huo.
Waziri wa fedha wa Uingereza kukutana na wenzake wa EU
Serikali ya chama cha Labour imekuwa ikijaribu kufufua upya uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza.
Barnier atarajiwa kujiuzulu kama waziri mkuu wa Ufaransa
Kujiuzulu kwa Barnier kutamaliza wiki kadhaa za mvutano kuhusu bajeti.
Kamisheni mpya ya EU inaanza kazi na mwelekeo mpya
Kamisheni mpya ya Umoja wa Ulaya inaanza kazi na mwelekeo mpya
Bunge Uingereza lapitisha sheria ya kifo cha kusaidiwa
Muswada wa kuhalalisha kifo cha kusaidiwa kwa wagonjwa mahututi umepita usomaji wa pili kwenye Bunge la Uingereza.
Polisi Georgia yawakabili waandamanaji wanaoiunga mkono EU
Waandamanaji waliweka vizuwizi barabarani na kuvichoma moto huku ikiripotiwa kuwa waandamanaji kadhaa wamekamatwa.
Marekani, Uingereza na wengine walaani machafuko ya Msumbiji
Upinzani unapinga kile inachosema ni ushindi wa udanganyifu wa Frelimo, chama ambacho kimetawala Msumbiji tangu 1975.
EU yataka usitishaji mara moja wa vita vya Israel-Hezbollah
Umoja wa Ulaya umetaka kusitishwa mara moja kwa vita kati ya Israel na Hezbollah na kutaka azimio la UN kuheshimiwa.
Maelfu wakumbwa na mafuriko ya kimbunga nchini Uingereza
Hali ya wasiwasi imewakumba wakaazi nchini Uingereza na Wales kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Bert.
EU yahimiza usitishaji wa vita vya Israel na Hezbollah
Borrel asisisitiza utekelezaji wa Azimio 1701 la Umoja wa Mataifa linalotaka wanajeshi wa Israel kuondoka Lebanon.
Iran kufanya mazungumzo ya Nyuklia na mataifa ya Ulaya
Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika Novemba 29 na yatahusu mzozo wa mpango wa nyuklia wa Iran, kufuatia azimio.
EU yamrejesha nyumbani balozi wake Niger
Umoja wa Ulaya umemrejesha nyumbani balozi wake nchini Niger kwa sababu ya mzozo kuhusu mgao wa fedha za misaada.
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka msimamo mkali Ujerumani
Mkuu wa Bunge la EU aonya kuongezeka ufuwasi wa msimamo mkali Ujerumani
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Putin: Vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia
Serikali ya Ukraine imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ya haraka dhidi ya Urusi.
Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza
Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema hawezi kuzungumzia ripoti hizo au masuala ya kiutendaji.
Iran imekosoa kuwekewa vikwazo vipya na EU na Uingereza
Iran imekosoa hatua ya kuwekewa vikwazo vipya na EU na Uingereza
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine
Nchi za G7 zasisitiza kuendelea kuiunga mkono Ukraine na kiuiwajibisha Urusi kwa uvamizi wake
UEFA yamsimamisha kazi Coote, kwa ukosefu wa maadili
Matamshi ya Coote kuhusiana na Klopp pia yanachungzwa na Shirikisho la Kandanda huko Uingereza FA.
Borrell ataka EU isimamishe mazungumzo ya kisiasa na Israel
Hata hivyo baadhi ya wanadiplomasia wanasema mapendekezo hayo ya Borrell, yanaweza kupingwa kwa kura ya turufu
Uingereza yakusudia kupunguza gesi chafu kwa asilimia 81
Starmer ndiye kiongozi pekee wa kundi la nchi zilizostawi kiuchumi la G20 aliyejitokeza katika mkutano huo.
Boti 9 za wahamiaji zakamatwa zikijaribu kuingia Uingereza
Uingereza imefanikiwa kuzizuwia boti tisa zilizokuwa zimewabeba wahamiaji 572 wasio na vibali kuingia Uingereza.
Viongozi EU, UN walaani vurugu za Amsterdam
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wamezilaani ghasia za Alhamisi dhidi mashabiki wa soka wa Israel mjini Amsterdam.
Viongozi wa EU wakutana Budapest kwa mkutano usio rasmi
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Budapest nchini Hungary leo katika mkutano wa kilele usio rasmi.
EU inatamatarajio yapi kwenye uchaguzi wa Marekani?
Ikiwa watu wa Ulaya wangeweza kumchagua mkuu wa taifa la Marekani Novemba 5, matokeo yangekuwa wazi.
Mwanamfalme William wa Uingereza ziarani Afrika Kusini
Mwanamfalme William wa Uingereza ziarani Afrika Kusini
EU yampongeza Maia Sandu kwa ushindi wa urais, Moldova
Ushindi wa Sandu unakuja baada ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais jana Jumapili.
Moldova yapiga kura kuhusu mustakabali wa Umoja wa Ulaya
Moldova yapiga kura katika uchaguzi tete kuhusu mustakabali wa Umoja wa Ulaya.
Uingereza: Tutumia mkakati mpya kuboresha uhusiano na Afrika
Uingereza yatangaza kile ilichokiita mkakati mpya katika kuboresha uhusiano wake wa kila nyanja kwa Afrika.
Japan na Umoja wa Ulaya kushirikiana kiusalama na ulinzi
Hayo yanijiri wakati mivutano ikiongezeka kati yao na China, Korea Kaskazini na Urusi.
EU yatoa mwito mpya wa kusitishwa mapigano Lebanon
Rais wa Misri asisitiza juu ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda mfupi wa siku mbili
Mkutano wa Jumuiya ya Madola wamalizika nchini Samoa
Mataifa ya Kiafrika, Karibean na Pasifiki yanaitaka Uingereza na mataifa mengine yaliyokuwa na makoloni yalipe fidia
Mfalme Charles: Historia "chungu" ya utumwa ikumbukwe
Mfalme Charles asema Jumuiya ya Madola inapaswa kutambua historia chungu ya utumwa
Mali za Urusi zilizozuiwa Ulaya kutumika kuikopesha Ukraine
Baraza la Umoja wa Ulaya limeunga mkono mpango wa mataifa ya G7 wa kutoa mkopo wa mabilioni ya ya euro kwa Ukraine.
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
"EU haikuwa wazi kuhusu muafaka wa uhamiaji na Tunisia"
Taasisi ya maadili EU haikuwa wazi kuhusu muafaka wa uhamiaji na Tunisia
Uingereza kuipatia Ukraine mkopo wa dola bilioni 2.94
Fedha hizo ni sehemu ya mkopo uliopangwa kutolewa na nchi za G7.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 46
Ukurasa unaofuatia