You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Vatican
Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani pamoja na kiongozi wake, Papa
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Papa Francis kuzuru Kongo na Sudan Kusini wiki ijayo
Hiyo ni ziara yake ya tano Barani Afrika tangu alipochaguliwa mwaka 2013.
Papa Francis alaani huku Iran ikiwahukumu kifo watu watatu
Wanatuhumiwa kuwauwa maafisa watatu wa vyombo vya usalama wakati wa maandamano yaliyochochewa na kifo cha Mahsa Amini.
Wakatoliki wautazama kwa siku ya mwisho mwili wa Benedict
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amempongeza marehemu Papa Benedict wa kumi na sita wakati alipokuwa aki
Papa Mstaafu Benedict wa 16 aaga dunia akiwa na miaka 95
Kiongozi wa zamani wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa mstaafu Benedict wa 16 ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 95.
Papa Francis amtembelea papa mstaafu Benedict anayeumwa
Papa Francis amemtembelea mtangulizi wake papa mstaafu Benedict wa XVI, baada ya afya yake kudhoofika.
Uholanzi yaomba radhi kwa nchi hiyo kuhusika katika utumwa
Waziri Mkuu wa Uholanzi, Mark Rutte ameomba rasmi radhi kutokana na nchi hiyo kuhusika katika biashara ya utumwa.
Ukraine imesema Urusi inajiandaa na mashambulizi mapya
Marekani imesema itazingatia pendekezo la kuipatia Ukraine mabomu zaidi ili kukabiliana na mashambulizi ya Urusi.
Papa Francis aelekea Bahrain katika kongamano la kidini
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekwenda nchini Bahrain kushiriki katika mkutano wa dini mbali mbali.
Watu 100 wauawa kwa mashambulizi ya mabomu Somalia
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mashambulizi mawili ya mabomu kwenye mji mkuu wa Somalia, Mogadishu imefikia 100.
Watu 920 wafa kwa tetemko la ardhi Afghanistan
Watu wapatao 920 wamekufa baada ya tetemeko la ardhi kutokea mashariki mwa Afghanistan usiku wa kuamkia Jumatano.
Papa Francis aliidhinisha mpango wa siri kumwokoa Mtawa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis aliidhinisha operesheni ya siri kumwokoa Mtawa
Mapigano zaidi yaripotiwa Mashariki mwa Ukraine
Mapigano zaidi yaripotiwa Mashariki mwa Ukraine
Papa Francis ahimiza amani katika hotuba yake ya Pasaka
Papa Francis ameilaumu tabia ya kutunishiana misuli huku watu wakiwa wanateseka nchini Ukraine.
Pasaka yaadhimishwa Ukraine ikizidi kushambuliwa
Jeshi la Urusi lawapa wapiganaji wa Ukraine muda wa mwisho kujisamilisha na kuondoka mji uliozingirwa wa Mariupol.
Wakimbizi wa Ukraine wapindukia milioni 4
Mashirika ya kimataifa yanahofia hali ya ukimbizi na utu kufuatia uvamizi wa Urusi nchini Ukraine tangu Februari 24.
Papa Francis apanga kuzuru DR Congo na Sudan Kusini
Papa Francis apanga kuzuru DR Congo na Sudan Kusini
Putin aamuru vikosi vya kujilinda viwe kwenye tahadhari
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameamuru vikosi vya kuzuia mashambulizi vya nchi hiyo viwekwe katika hali ya tahadhari.
Benedict XVI alaumiwa kwa unyanyasaji wa watoto
Benedict XVI alaumiwa kwa unyanyasaji wa watoto
Papa Francis awataka Wakatoliki wawasaidie masikini
Waumini wapatao 2000 wahudhuria misa katika Kanisa la Mtakatifu Peter mjini Rome, Italia.
Papa akutana na wahamiaji kisiwani Lesbos
Papa Francis ameitaja tabia ya kuwapuuza wahamiaji kuwa ni "kwenda mrama kwa ustaarabu" duniani.
Papa Francis : Siasa za kizalendo ni kitisho kwa demokrasia
Papa Francis ametahadharisha juu ya kitisho cha siasa za mrengo wa kulia kwa demokrasia barani Ulaya.
Rais Joe Biden akutana na Papa Francis
Rais Joe Biden ni muumini mkubwa wa madhehebu ya Kikatoliki na anakutana na Papa kwa mara ya kwanza tangu kuchaguliwa.
Papa Francis ahimiza uwajibikaji wa pamoja wakati wa COP26
Papa Francis awahimiza viongozi wa kisiasa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja wakati wa COP26.
Unyanyasaji wa kingono Ufaransa aibu kwa kanisa asema Papa
Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa na yeye mwenyewe kutokana na unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto.
Papa Francis awaombea wahanga wa hujuma za kundi la IS
Papa Francis aliye ziarani nchini Iraq amewaombea wahanga wa madhila ya kundi la itikadi kali la IS.
Papa Francis ahimiza jamii za Iraq kuvumiliana
Papa Francis awahimiza Wairaq kutobagua dini
Papa Francis ziarani Iraq
Papa Francis ziarani Iraq wakati ulinzi ukiimarishwa
Papa Francis awaonya wanaokataa chanjo
Makao makuu ya Katoliki,Vatican yajiandaa kuanza mchakato wa kutoa chanjo wiki ijayo kuanzia jumatatu
Ubepari umeungusha ulimwengu wakati huu wa corona
Papa Francis amesema kuondokana na nadharia za mfumo wa kibepari ndio njia moja pekee ya kuyatatua matatizo ya dunia
Mji wa Paris kutangaza tahadhari ya juu dhidi ya COVID-19
Wataalamu wa afya waishutumu hatua ya Trump kuondoka hospitalini kwa gari kuwapungia wafuasi wake
Corona: Maambukizi yaongezeka Ujerumani na Ufaransa
Ujerumani na Ufaransa zaorodhesha idadi kubwa ya maambukizi ya kila siku katika muda wa miezi kadhaa sasa,
Papa akosoa hali ya kambi za wahamiaji nchini Libya
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amevilinganisha vituo vya wakimbizi huko Libya na kambi za mateso
Trump ataka shule za umma kufunguliwa
India yafuta mpango wa kununua bidhaa za China
Papa Francis auomba Umoja wa Ulaya kuwa na mshikamano
Papa Francis auomba Umoja wa Ulaya kuwa na mshikamano
Papa Francis ahimiza mshikamano katika vita dhidi ya corona
Ulimwengu umeadhimisha Siku Kuu ya Pasaka wakati idadi ya vifo barani Ulaya kutokana na virusi vya corona ikifika 75,000
Kadinali Pell huru baada ya hukumu kufutwa
Kadinali George Pell wa kanisa katoliki amechiliwa huru baada ya kesi yake kuhusu unyanyasaji wa kingono.
Corona: Mawaziri wa Afya wa nchi za Umoja wa Ulaya wakutana
Kwingineko ulimwenguni taarifa kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona zinazidi kumiminika.
Papa: Waliofunga ndoa hawatakuwa mapadri
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis amekataa kuunga mkono pendekezo la kuwakubalia wanaume waliofunga ndoa.
Kanisa Katoliki: Hakuna tena siri za kashfa za kingono
Vyombo vya usalama sasa vitaweza kuchunguza uhalifu huo ikiwa ni moja ya hatua kubwa za kimageuzi chini Papa Francis
Papa atoa wito wa dunia bila silaha za kinyuklia
Papa aitaka dunia kuachana na silaha za kinyuklia katika ziara yake Japan
Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis ziarani Japan
Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis ziarani Japan
Morales aiomba UN na Papa Francis kusuluhisha mzozo Bolivia
Morales aliyeko uhamishoni nchini Mexico anadai kwamba bado ni rais wa taifa hilo kwa kuwa bunge la Bolivia
Papa Francis ahiimiza Msumbiji kudumisha amani nchini humo
Papa Francis, ameihimiza Msumbiji kudumisha amani mpya iliyopatikana nchini humo.
Papa Francis apeleka ujumbe wa umoja na maridhiano Msumbiji.
Papa Francis ameanza ziara Msumbiji, akitarajiwa kutoa hotuba mbele ya viongozi wa serikali na wa chama cha upinzani,
Papa Francis abariki Macedonia Kaskazini kujiunga na EU
Baba mtakatifu afanya ziara nchini Macedonia
Papa Francis: Madai ya wanawake ni halali kutaka haki zaidi
Hasa miito ya kumtaka Papa kutambua uharaka wa mabadiliko makubwa ya kuwapa wanawake nafasi za uongozi.
Vatican:Sheria mpya kuhusu unyanyasaji wa ngono yatangazwa
Sheria hiyo mpya inawahusu wafanyakazi wote wanaoishi na kufanya kazi katika Vatican, mji mkuu wa Kanisa Katoliki.
Papa ashindwa kuwaridhisha wahanga wa ubakaji
Je Kanisa katoliki litafanikiwa kujitakasa dhidi ya kadhia ya unyanyasaji kingono?
Mkutano kupambana na unyanyasaji wa kingono waanza Vatican
Kanisa katoliki laombwa kutoa majina ya watuhumiwa wa unyanyasaji wa kingono
Papa aongoza Misa ya Kihistoria katika Rasi ya Uarabuni
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis aadhimisha Misa katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 4
Ukurasa unaofuatia