You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: Zoonar/picture alliance
Picha: Zoonar/picture alliance
Makala zetu
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
25.05.2024: Matangazo ya Mchana
Kwenye Matangazo ya Mchana utasikia pamoja na mengineyo taarifa ya habari za ulimwengu na makala ambazo ni pamoja na mjadala mrefu na wa kina wa Maoni kuhusiana na kifo cha ghafla cha aliyekuwa Rais wa Iran Ebrahim Raisi. Utasikia mengi kuhusu kiongozi huyo na kile kinachotarajiwa nchini humo baada ya kifo chake. Ungana nasi hapa.
Rais wa Kenya William Ruto apendekeza kupandisha kodi
Zainab Aziz amewakaribisha mezani wachambuzi kuzungumzia mapendekezo ya kupandisha kodi nchini Kenya.
TCRA na usimamizi wa vituo vya habari Tanzania
Katika makala hii Mohammed Khelef ameketi chini na meneja wa huduma za utangazaji Andrew Kisaka kutoka Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na kuzungumzia namna mamlaka hiyo inavyosimamia vyombo vya habari vya utangazaji Tanzania na hatua wanazozichukua pale vinapokiuka kanuni.
Namna akili ya kubuni AI inavyotumiwa kuwarubuni watu
Hapo awali matapeli walitumia ujumbe au barua pepe kufanya ulaghai lakini sasa wamegeukia teknolojia ya AI kutapeli.
Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala Yetu leo inaangalia athari zilizotokana na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa Tanzania.
Marafiki kupostiana mtandaoni siku ya "Birthday"
Utamaduni wa kusheherekea siku ya kuzaliwa umebadilika hasa katika zama hizi za kidigitali na kupostiwa mtandaoni.
Wafungwa wanaosalia jela Burundi baada ya kumaliza vifungo
Ni kwa nini mfungwa asalie gerezani hata baada ya kumaliza kifungo chake? Ndilo swali ambalo makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia kule nchini Burundi. Na je wanaofungwa kinyume cha sheria watapataje haki? Mtayarishaji wa makala ni Amida Issa akiwa mjini Bujumbura, Burundi.
Makamu wa Rais wa Zanzibar azungumzia umoja wa kitaifa
Wakati hatima ya ushiriki wa mshirika mdogo kwenye serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar, chama cha ACT Wazalendo, ikining'inia baina ya kubakia na kutoka, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, anazungumza na Mohammed Khelef wa DW kuhusu uhalisia wa mambo ulivyo.
Nafasi ya Tanzania katika uwanja wa kidiplomasia
Katika Makala ya Kinagaubaga, Mwenzetu Florence Majani amezungumza na Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa nchini Tanzania January Makamba, juu ya mambo mengi likiwemo hili la nafasi ya taifa hilo la Afrika Mashariki katika uwanja wa kidiplomasia.
Joel Nanauka katika Kinagaubaga na DW Kiswahili
Joel Nanauka kutoka Tanzania ni mwandishi wa vitabu na msomi aliyebobea katika masuala ya Diplomasia na uchumi na ni miongoni mwa vijana wenye ushawishi zaidi barani Afrika, kwa kuielimisha jamii hasa vijana kuhusu mambo yasiyofundishwa katika mfumo rasmi wa elimu ya darasani. Veronica Natalis amezungumza ne katika Kinagaubaga.
Ujerumani yakabiliwa na uhaba mkubwa wa makazi
Uhaba wa makazi nchini Ujerumani, ni tatizo kubwa la kijamiii. Kupata nyumba ya kupanga hivi sasa limekuwa suala gumu ambalo linaweza kufananishwa na kushinda bahati nasibu. Ungana na Angela Mdungu katika makala ya Sura ya Ujerumani kufahamu zaidi kuhusu tatizo hilo.
27.04.2024: Matangazo ya Asubuhi
Kwenye Matangazo ya Asubuhi, utasikia Makala mbalimbali ambazo ni pamoja na Afrika Wiki Hii na Vijana wakijadili Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Karibu uungane nasi hapa.
27.04.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa moja kwa moja
Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania
Mohammed Khelef anaongoza Meza ya Duara kujadili miongo sita ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
26.04.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza Taarifa yetu ya habari za Ulimwengu asubuhi hii
Mikopo ya mitandaoni na chungu yake
Matangazo ya mikopo ya mitandaoni huwavutia watu kwasababu ya masharti yake nafuu. Lakini namna ya kudai madeni inatajwa kudhalilisha wadaiwa. Ungana na Florence Majani, katika makala yetu leo.
Ujerumani kulifanyia mageuzi jeshi lake
Makala ya Sura ya Ujerumani leo inaangazia mpango wa Waziri wa Ulinzi Boris Pistorius wa kulifanyia marekebisho jeshi la nchi hiyo, "Bundeswehr". Maheuzi hayo yanatokana na kile anachokiita Pistorius kuwa kitisho cha kiusalama barani Ulaya.
Miaka 30 tangu mauaji ya Kimbari ya Rwanda
Rashid Chilumba anaongoza kipindi cha Maoni kujadili miaka 30 tangu kutokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda.
14.04.2024: Matangazo ya Mchana
Kwenye Matangazo ya Mchana utasikia Taarifa ya habari za ulimwengu, makala ya Afrika Wiki Hii inayijumuisha mambo yaliyogonga vichwa vya habari kote barani Afrika pamoja na kipindi kizuri kabisa cha salaamu na muziki. Ungana nasi hapa kusikiliza zaidi.
Afrika Wiki Hii: Raia wa Kongo wamlilia Rais Tshisekedi
Katika Afrika Wiki Hii, utasikia pamoja na mengineyo, hali ya usalama katika mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yazidi kuzorota kufuatia kujiimarisha kwa waasi wa M23. Nchini Mali, serikali ya kijeshi yatangaza kusitisha shughuli zote za vyama vya kisiasa. Na huko nchini Tanzania, baadhi ya maeneo yakumbwa na mafuriko.
06.04.2024: Matangazo ya Mchana
Matangazo ya Mchana, yanasikika hapa. Utasikia Taarifa ya Habari ambako kuna mengi yanayogonga vichwa vya habari duniani. Lakini pia kuna Maoni mbele ya Meza ya Duara, ambapo wafuatiliaji wanamchambua, Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na changamoto zinazomkabili. Karibu.
Afrika Wiki Hii: Ufaransa ingezuwia mauaji ya 1994 Rwanda
Katika Makala ya Afrika Wiki Hii, rais wa Ufaransa asema taifa lake pamoja na washirika wake wangeweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Rwanda lakini ilikosa ari ya kufanya hivyo na nchini Senegal rais mpya Bassirou Diomaye Faye amteua mwanasiasa maarufu wa upinzani Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo. Amina Abubakar atakupasha mengi zaidi katika makala hiyo.
Utafutaji Abaya na uchoraji heena ni miongoni mwa maandalizi ya Eid-Ul Fitr
Wikendi ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani waislamu wako kwenye ibada za mwishoni lakini pia kwenye maandalizi ya sherehe za Eid Ul Fitri. Heka heka za kutafuta Abaya za Eid zimepamba moto. Jiunge na Saumu Mwasimba amekuandalia uhondo kuhusu uchoraji heena huko Zanzibar na shamrashamra zilizotawala huko Burundi kuelekea Eid,katika makala ya Karibuni
DR Congo yapata Waziri Mkuu Mwanamke
Je Rais Tshisekedi amemchagua Judith Suminwa Tuluka kwa sababu ni mtu wake wa karibu au ni kutokana na uwezo alionao?
Habineza na hali ya upinzani Rwanda
Frank Habineza anazungumza juu ya hali ya kisiasa katika taifa hilo dogo la Afrika Mashariki.
Ulaghai wa wawekezaji wa Kigeni Afrika
Katika makala yetu leo, Emmanuel Lubega anazungumzia msamaha wa kodi wanaopewa wawekezaji wa kigeni barani Afrika kwa muda fulani wakati wanapoanzisha shughuli zao. Hata hivyo suala hilo linapingwa vikali na wachumi barani Afrika.
Sema Uvume: Programu inayosaidia wasioona kutumia mitandao
Programu maalum za kuwasaidia wenye ulemavu wa macho kutumia majukwaa hayo zimeanza kufanya kazi.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Wasenegal wamchagua mwanasiasa kutoka kambi ya upinzani Bassirou Diomaye Faye kuiongoza nchi. Hali ya wasiwasi yaibuka nchini Togo baada ya bunge kupitisha katiba mpya inayoondowa mfumo wa mamlaka ya rais na kuuhamishia bungeni. Rais Tshisekedi wa Kongo asema jirani yake Paul Kagame ni msumbufu anayevuruga amani. Jiunge na Saumu Mwasimba.
Tabia za vijana wakati wa miezi ya toba
Lilian Mtono anazungumza na vijaa haswa kuhusu kubadilisha mienendo ya kimaisha, wakiachana na maovu, kuwa watii, wanyenyekevu na kufanya ibada zaidi. Lakini ni kwa bahati mbaya kwamba wengi hurejea kwenye mienendo ileile ya kimaisha ya kabla ya kipindi kama hiki cha toba.
Hali ya makazi mijini Afrika Mashariki
Kwenye Makala Yetu Leo, tunaangazia hali ya makazi katika miji kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat, linasema idadi ya wakazi wa mitaa ya mabanda inatazamiwa kufikia bilioni 3 ifikapo mwaka 2050 huku mzozo wa makazi ukizidi kuwa mkali duniani.
Maroboti katika usambazaji wa chakula
Makala ya Sema Uvume wiki hii inaangazia maendeleo mapya katika sekta ya usambazaji wa vyakula ambapo sasa, maroboti yameanza kutoa huduma hiyo. Pia maroboti yanatumika kukusanya taarifa kutoka katika sehemu ya chini kabisa ya bahari. Mwandaaji wiki hii ni Angela Mdungu.
Huduma za serikali ya Zanzibar mtandaoni
Mwandishi wa DW Salma Said anazungumza na Mkurugenzi mtendaji wa serikali mtandao kutoka Zanzibar, kuhusu uendeshaji wa shughuli za serikali na huduma kwa njia ya mtandao. Kufahamu mengi sikiliza mahojiano kamili.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Saumu Mwasimba anaangazia matukio yaliyogonga vichwa vya habari barani Afrika wiki hii.
Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania
Rashid Chilumba anaongoza kipindi cha Maoni kutathmini nafasi ya chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania.
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.
Kauli ya Papa Francis yazua hisia mseto
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema katika mahojiano kwamba Ukraine inapaswa kuwa na kile alichokiita ujasiri wa kupeperusha "bendera nyeupe" kama ishara ya kusalimu amri na kukubali kufanya mazungumzo ya kumaliza vita na Urusi. Kauli hiyo imeichukiza mno Ukraine na washirika wake wa Magharibi.
Madhara ya kiafya kwa madereva wa bodaboda
Makala ya afya yako Deo Kaji Makomba kutoka makao makuu ya Tanzania, Dodoma, anaangazia madhara ya kiafya wanayoweza kuyapata madereva wa pikipiki maarufu kama boda boda ambao hujishughulisha na shughuli za usafirishaji abiria katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Usiweke simu yako kwenye mchele mkavu
Katika Sema Uvume wiki hii Suleman Mwiru anatizama tahadhari iliyotolewa na kampuni ya Apple juu ya tabia ya kuziweka simu kwenye mchele mkavu pindi zinapodondoka kwenye maji, badala yake fanya yafuatayo.
Zitto Kabwe amekiachaje chama cha ACT-Wazalendo ?
Silikiza mahojiano ya mwanasiasa wa upinzani Tanzania Zitto Kabwe na George Njogopa wa DW-Kiswahili kwenye Kinagaubaga.
Somalia yajiunga rasmi na EAC
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeikaribisha rasmi Somalia kuwa mwanachama wake mpya.
Kaiko Njike: Waasi bado wanatatiza raia mashariki ya Kongo
Sudi Mnette anazungumza na Kanali Kaiko Njike, msemaji wa jeshi la Kongo linalopambana na waasi mashariki ya nchi hiyo.
Mastaa wageuka ombaomba mitandaoni?
Ni jambo la kawaida kuona ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa mastaa wakiomba msaada wa kifedha kutoka kwa mashabiki wao na wafuasi wao. Iwe ni kwa ajili ya kulipa bili za matibabu, kulipa kodi za nyumba au hata kununua kitu cha thamani. Bruce Amani anaimulika mada hii katika Vijana mchakamchaka.
Ukraine inataka kuungwa mkono na Waafrika
Ukraine inatafuta uungwaji mkono kutoka katika pande tofauti za ulimwengu kufuatia vita vyake a Urusi. Hivi karibuni ili kulifanyika kongamano la kimataifa kuhusu vita hivyo lililofahamika kama Cafe Kyiv, mwandishi wa habari Issac Amuke kutoka Kenya alikuwa mwana jopo katika kongamano hilo lililofanyika Februari 2024. Zaidi msikilize alipozugumza na Sudi Mnette.
Juhudi za serikali ya Kenya kuzalisha dawa zake yenyewe
Ungana na Wakio Mbogho, Ripota wa DW mjini Nakuru, Kenya, katika Makala ya Afya Yako inayomulika jitihada za taifa la Kenya kustawisha uzalishaji wa dawa na bidhaa za matibabu nchini humo.
Biteko:Uhakika mgao wa umeme mwisho Machi Tanzania
Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dotto Biteko amesema taarifa ya kuufikisha mwisho kwa mgao wa umeme Tanzania mwezi Machi.
Vijana Tugutuke: Vijana na klabu za waandishi habari
Katika Makala ya Vijana Tugutuke, Fathiya Omar anazumgumza na waandishi habari vijana katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya, kuhusu umuhimu wa vilabu vya waandishi na namna vinavyowasaidia kupata fursa na kujiendeleza kitaaluma.
Faida za Misitu kusini mwa Tanzania
Katika Makala hii ya Mtu na Mazingira Salma Mkalibala anaangazia, faida za kimazingira zinazotokana na uwepo wa Misitu ya Ukanda wa Pwani na changamoto zake.
Je umeshawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?
Kuna mitazamo tofauti juu ya vijana wanaojihusisha na uhusiano wa kimapenzi na watu waliowazidi umri. Lakini vipi mahusiano hayo yanapogeuka kuwa ya kusaka maslahi? Suleiman Mwiru anakueleza zaidi katika Makala hii.
Vijana Mchakamchaka: Je, unaitumiaje simu yako?
Je, wewe unaitumiaje simu yako? Ungana na Selina Mdemu akizungumzia matumizi ya simu kwa vijana.
Wimbi la rekodi za dunia za Guinness
Katika Makala hii ya vijana mchakamchaka, tunafahamu zaidi kuhusu rekodi za dunia, za Guinness. Je, ni za kujipatia sifa tu? Au zinakuza maadili ya kijamii na kuhamasisha jamii kuhusu masuala muhimu? Ni rekodi ipi ambayo ungependa iandikwe?
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 4
Ukurasa unaofuatia