JamiiNamna akili ya kubuni AI inavyotumiwa kuwarubuni watuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSuleman Omari Mwiru/ MMT15.05.202415 Mei 2024Mara hii kwenye Sema Uvume tutaangazia namna ambavyo teknolojia inavoweza kutumika na matapeli kurubuni watu na hata kuwaibia mtandaoni na kwenye majukwaa ya kidijitali. https://p.dw.com/p/4ftleMatangazo