Picha: INA FASSBENDER/AFPPicha: INA FASSBENDER/AFP
Sahra Wagenknecht
Sahra Wagenknecht alizaliwa mwaka 1969 mjini Jena, Ujerumani Mashariki, kwa mama Mjerumani na baba wa Kiirani. Ameanzisha chama kinachochanganya maadili ya kijamii ya kihafidhina na sera za kiuchumi za kijamaa.