You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Noa Bongo! Jenga maisha Yako
Michezo ya kuigiza vilevile makala mahusisi kwa vijana kujadilia mada mbalimbali.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ardhi ya Ahadi – Hadithi ya Uhamiaji wa Waafrika barani Ulaya
Huku Farahani na Sule wakiota kuwa na maisha bora Ulaya, mwanafunzi Linda tayari yuko njiani kuelekea huko. Mchezo huu unalinganisha ndoto za vijana wa Kiafrika za kusoma na kufanya kazi Ulaya na hali halisi ya mambo.
Kila Mmoja ni Tofauti - Heshima kwa Makundi ya Wachache
Watu watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa.
Wasaliti walo karibu - Dhuluma za ngono
Dhulma za kimapenzi ni tatizo kubwa kote barani Afrika. Mchezo huu wa redio unasimulia hadithi ya kusikitisha kuhusu vijana watatu ambao ni waathiriwa wa visa vya unyanyasaji wa kimapenzi.
Mihadarati na vileo - Poromoko la jamii
Idadi ya watumiaji wa madawa ya kulevya barani Afrika imepanda kwa kiwango cha kuogopesha katika miaka iliyopita. Mfululizo wa vipindi hivi unatuonyesha jinsi ilivyo rahisi kuingia katika utumiaji wa madawa ya kulevya.
Usalama barabarani
Kila siku ajali nyingi za barabarani ambazo zingeweza kuzuilika hutokea barani Afrika. Mchezo wetu wa redio unaonyesha jinsi ya kuwa salama barabani ukiwa mtembea kwa miguu, kwenye baisikeli, gari au lori.
Hadithi juu ya biashara ya watoto yashinda shindano
Katika shindano wasikilizaji walipewa fursa ya kuelezea visa vyao binafsi na walielezea hadithi za kusisimua.
Shindano la Learning by Ear limefungwa
Tunawashukuru washiriki wote wa DW!
Afya na jamii
Vipindi vya Noa Bongo vinatoa mfano mzuri kuhusu magonjwa hatari zaidi barani Afrika.
Kuuziba Mwanya wa Digital – Kompyuta na Mtandao
Mgawanyiko wa Digital uko hai barani Afrika, lakini bara hilo linakimbia kwa kasi.
Wajasirimali wa kiafrika – Wenye mafanikio na wenye kuwajibika
Hulala kidogo sana, hawafahamu neno „starehe“ lakini wanaipenda kazi yao na wanajitoa kwa jamii wanamoishi. Hili ni jambo linalowaunganisha wafanyabiashara wote wa Kiafrika tunaowatambulisha katika mfululizo wetu mpya.
Changamoto wanazokabiliana nazo watu wenye ulemavu
Watu wenye ulemavu mara kwa mara katika maisha ya kila siku wamekuwa wakikabiliwa na vitendo vya kubaguliwa.Wamekuwa wakitengwa na kukataliwa kutokana na ulemavu wao
Kufungua biashara – Jinsi ya kuwa bosi wako mwenyewe!
Je, umechoka kutafuta kazi kila siku? Unataka kutimiza mawazo yako pamoja na ubunifu wako? Mfululizo wa vipindi hivi utakonyesha namna ya kuanzisha biashara yako na kuwa mjasirimali mwenye mafanikio.
Uchumi na mazingira
Unapata taswira kamili jinsi maisha ya kawaida kila siku yanavyoathiri au kuathiriwa na sehemu nyingine za ulimwengu.
Pongezi kwa Learning by Ear
Learning by Ear - Uhariri wa magazeti
Sio tu wasikilizaji wa vipindi vyetu vya Noa Bongo wanaotoa maoni yao kuvisifu. Pia vyombo vya habari vinazungumzia vipindi vyetu. Soma hapa kuhusu yanayosemwa na vyombo hivyo.
Learning by Ear – Washirika wetu ni akina nani?
Wajue washirika wetu!
Mazingira ya Afrika - Tishio Kwa Pepo Iliyopotea
"Learning by Ear – Noa bongo" inaangalia kwa kina uhusiano baina ya watu na mazingira barani Afrika.
Wageni wasioalikwa – Ugonjwa wa Malaria
Ni viumbe wadogo sana, hukuvamia na kukushambulia wakati wa usiku na ni hatari kwa usalama: Hawa ni mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria.Ugonjwa wa malaria ndio hatari zaidi barani Afrika lakini ni rahisi kujikinga nao.
Maoni ya wasikilizaji wa Noa Bongo Jenga Maisha yako
Kutoka nchini Msumbiji hadi Senegal, Burkina Faso hadi Tanzania, wasikilizaji wetu kote barani Afrika wanasema : Sikiliza Ujifunze!
Mjadala wa Kidini - Daraja la Mto Gori
Kote ulimwenguni,watu walio na dini na imani tofauti huishi katika jamii moja kwa amani.Hata hivyo kutovumiliana,dhana potofu au ukosefu wa maelezo kuhusu dini tofauti unaweza kusababisha mivutano mibaya
Utandawazi - Rafiki na adui wa Afrika
Vipindi vya Noa Bongo vinachunguza kwa kina athari za utandawazi barani Afrika. Kupitia vipindi vyetu wasikilizaji wanaweza kukutana na watu wanaochangia kuufanikisha utandawazi na wale wanaoathiriwa na utandawazi.
Je, vipindi vya Noa Bongo vimeyagusa maisha yako?
Kuna mtu yeyote mahala popote ulimwenguni? Tungependa kujua! Je, vipindi vyetu vimeyagusa maisha yako kwa njia yoyote ile? Kama maisha yako yamebadilika, tuambie basi!
Vidio za Noa Bongo.
Vidio za Noa Bongo.
Wahusika katika Noa Bongo! Jenga maisha yako!
Kutana na baadhi ya wahusika wanaokuletea Learning by Ear - Noa Bongo!
Uchumi na Ulimwengu wa leo wa biashara – Utajiri unazidi kutiririka
Bado hatujagundua siri ya kutajirika haraka. Lakini kwa vidokezo kuhusu ulimwengu wa biashara na uchumi na jinsi unavyoweza kufaulu katika ulimwengu wa biashara, sikiliza vipindi vya Noa Bongo Jenga Maisha Yako!
Mtoto wa kike ahitimu shule
Kutojua kusoma na kuandika ni jambo ambalo linaweza kukuaibisha na linayaathiri maendeleo ya mtu binafsi.Hilo ndilo wanalolitambua ndugu wawili Latifa na Elinam katika makala haya mapya ya Noa Bongo-Jenga Maisha Yako.
Vipindi sasa vinapatikana kwenye podcasts!
Learning by Ear, mradi wa vipindi vipya vya DW kwa ajili ya Afrika.
Siasa na jamii
Noa Bongo inakupa sura halisi ya jinsi siasa zinavyoendeshwa barani Afrika.
Elimu ya jamii
Vipindi vya Noa Bongo vinakupa fursa ya kufahamu vyema maisha ya kila siku na ushauri ufaao.
Mradi wa vipindi vya Noa Bongo Jenga Maisha Yako washinda tuzo
Mkurugenzi wa idara za Afrika na Mashariki ya Kati, aliyeuanzisha mradi wa Noa Bongo, Bi Ute Schaeffer, asema anajivunia mradi huo kushinda tuzo ya uvumbuzi wa mawazo mapya
Njia ya kupanda Juu – Ajira na Mafunzo
Kuna ajira nyingi na za kuvutia barani Afrika. Sikilizeni maelezo juu ya jinsi ya kupata ajira hizo.
Vipindi vya Noa Bongo vyaanza kurekodiwa mjini Mombasa
Ni katika juhudi za kuihamasisha jamii kuhusu maswala mbalimbali
Kupitisha maamuzi binafsi – Kupanga uzazi
Idadi ya watu barani Afrika inazidi kuongezeka. Familia zinazidi kupanuka huku raslimali zikizidi kuwa haba, hali inayotoa taswira ya hali ngumu ya maisha.
Kazi na mafunzo
Kuna aina kadhaa za kazi nzuri barani Afrika. Hata hivyo, watu wanapaswa kupambana kuweza kupata nafasi hizo zilizopo.
Kujihusisha – Elimu ya Siasa na kujishirikisha
Vijana wanataka kuanzisha shule ya muziki. Chunguza jinsi hilo linavyounganika na jamii ya kiraia.
Ukimwi - Kujikinga dhidi ya gonjwa hili
„Learning by Ear – Noa bongo“ yaeleza namna ya kujikinga na Ukimwi na jinsi ya kuishi navyo.
Vipindi vya Noa Bongo! Jenga Maisha yako vinatayarishwa
Wanafanya kazi wanarekodi vipindi vya tamthilia katika studio za radio Tumaini.
Maajabu ya kila siku - Elimu ya jumla
Dunia inayotuzunguka imejaa maajabu. Nadra mtu huchukua wakati wa kuyatafakari. Lakini sisi hufanya!
Njia rahisi ya kuendelea kuwa na Afya
Kuwa mwenye afya ni changamoto kubwa barani Afrika. „Learning by Ear – Noa bongo“ inakupa ushauri.
LEARNING BY EAR - NOA BONGO JENGA MAISHA YAKO
Shirika la DW linaanzisha msimu maalum wa michezo ya kuigiza.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 3
Ukurasa unaofuatia