You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Erdogan huenda akamualika Assad kwa mazungumzo Uturuki
Vita vya Syria vilivyoanza mwaka 2011 yaliyatia doa mahusiano ya mataifa hayo mawili.
Dola la Kiislamu lauwa watu zaidi ya 4,000 Syria tangu 2019
Dola la Kiislamu lauwa watu zaidi ya 4,000 Syria tangu 2019
Erdogan hajaondoa uwezakano wa kurudisha uhusiano na Syria
ongozi huyo wa Uturuki ameongeza kuwa nchi yake haina nia ya kuingilia kati masuala ya ndani ya Syria.
Nani wakulaumiwa vifo vya Mahujaji huko Makka?
Nani wakulaumiwa au nini kilichosababisha vifo vya Mahujaji huko Makka?
Jeshi la Niger ladai kumuua mwanachama muhimu wa kundi la IS
Niger imekuwa kwa miaka mingi ikikabiliwa na mashambulizi ya makundi ya kigaidi.
Mwendesha mashtaka Ujerumani aonya juu ya kitisho cha ugaidi
Idadi ya matukio ya uhalifu yanayochochewa na siasa yameongezeka maradufu Ujerumani.
Idadi ya vifo yaongezeka hadi 41 kufuatia shambulio Kongo
ADF wenye mafungamano na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu wanaendesha harakati zao mashariki mwa Kongo.
Zaidi ya raia 50 wauawa na ADF mashariki mwa DRC
Kundi la ADF, asili yake ni waasi wenye itikadi kali za kiislamu kutoka Uganda.
Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu
Scholz amechukizwa na tabia ya watu waliopewa hifadhi nchini Ujerumani kujihusisha na uhalifu.
Scholz aunga mkono kufukuzwa wahalifu wa Syria, Afghanistan
Akihutubia bunge la Ujerumani, Bundestag, Scholz amesema uhalifu na vitisho vya kigaidi havina nafasi nchini Ujerumani.
Zaidi ya nusu ya miundombinu yote Ukanda wa Gaza imeharibiwa
Wakati huohuo Benjamin Netanyahu asema awamu ya kwanza ya mpango wa amani yaweza kufikiwa bila ya kusitishwa mapigano.
Ujumbe wa UN kuondoka Irak mwishoni mwa mwaka 2025
Ujumbe huo unao wafanyakazi takriban 700 ambao kazi yake ni kuishauri serikali kuhusu mazungumzo ya kisiasa
Rais Assad wa Syria akutana na Kiongozi Mkuu Iran Khamenei
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkaribisha Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Tehran.
Maafisa watatu waandamizi wa Syria wahukumiwa Ufaransa
Maafisa hao ni wa ngazi za juu zaidi nchini Syria kushitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu katika mahakama ya Ulaya.
Urusi yasema IS ilihusika na shambulizi la Moscow
Urusi yasema Dola la Kiislam lilihusika na shambulizi la Moscow.
Uganda yasema imemkamata kamanda muunda mabomu wa ADF
Jeshi la Uganda limesema limemkamata kamanda wa kundi la waasi wa ADF inayeamini ni mtaalamu wa kuunda mabomu.
Marekani yaonya kuhusu uwezekano wa mashoga kushambuliwa
Hivi karibuni, baadhi ya nchi zimepitisha sheria kali dhidi ya mashoga.
Shambulizi la Israel nchini Lebanon lawaua watu watatu
Vyanzo vimesema kuwa mfuasi mmoja wa kundi la Hezbollah linaloungwa mkono na Iran na wafanyakazi 2 wa Syria wameuawa.
Kiongozi wa zamani wa wanamgambo Syria ashitakiwa Ujerumani
Wanamgambo hao wanadaiwa kuiunga mkono serikali ya Syria kati ya mwaka 2012 na 2015.
Kamanda wa IS auwawa nchini Mali
Vikosi vya usalama vya Mali vimesema Kamanda wa IS auwawa nchini humo katika operesheni ya kijeshi.
Jeshi la Mali lamuua kamanda mmoja wa IS
Mali inasema jeshi la nchi hiyo limemuua kamanda wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi.
Sheria ya kupinga LGBTQ Iraq yakosolewa na wanaharakati
Muswada uliopita, ulikuwa umependekeza adhabu ya kifo kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Iraq kuwafunga miaka 15 wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
Mapenzi ya jinsia ni mwiko katika jamii ya kihafidhina ya Iraq, lakini hapakuwa na sheria ambayo ilitoa adhabu ya wazi.
HRW: Vikosi vya jeshi Burkina Faso vimewauwa raia 223
Raia 223 wameuawa na jeshi Burkina Faso katika mashambulizi kwenye vijiji vinavyodaiwa kushirikiana na wanamgambo.
Je Syria ndio sababu ya Iran na Israel kushambuliana?
Kundi la Hezbollah liko Lebanon pamoja na Syria na Iran na Hezbolla kwa pamoja wanaitambua Israel kuwa adui yao.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan azuru Iraq
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasili nchini Iraq kwa ziara ya kwanza baada ya miaka mingi.
Mripuko wauwa mmoja, wajeruhi wanane Iraq
Mripuko umeuwa mtu mmoja na kuwajeruhi wanane kwenye kambi ya kijeshi inayotumiwa na wafuasi wa Iran nchini Iraq.
Israel yaendelea kuitwanga Gaza
Mataifa yenye nguvu duniani yanahofia huenda ikaishambulia tena Iran baada ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.
Jenerali wa zamani Syria kushtakiwa kwa uhalifu wa kivita
Brigedia jenerali wa zamani wa Syria Mohammed Hamo anatuhumiwa kuhusika na vita vya wenyewe kwa wenyewe vya 2012.
Iran yaikamata meli ya Israel licha ya onyo la Biden
Jeshi la Iran limeikamata meli moja linayosema ina "uhusiano na utawala wa Kizayuni" kwenye Ghuba ya Uajemi.
Utawala Mali wasitisha shughuli za vyama vya siasa
Utawala wa kijeshi umesisitiza kuwa hatua hiyo inahitajika ili kudumisha utulivu wa umma.
Shirika la Lufthansa lasitisha safari za ndege za Tehran
Lufthansa imesema kuwa wanasimamisha safari za ndege za kwenda na kutoka Tehran kutoka Aprili 6 hadi pengine Aprili 11.
Watu 20 wauawa Syria
Watu 20 wameuawa kwenye mapigano nchini Syria baada ya mripuko kuwauwa watoto waliokuwa wamekusanyika.
Vurugu zasababisha mauaji ya watu 12 Syria
Syria imekumbwa na vita kwa wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 2011 wakati wa maadnamano ya kupinga utawala wa rais Assad
Iran: Washukiwa 3 waliokuwa wakipanga mashambulizi wakamatwa
Washukiwa hao walikamatwa katika mji wa Karaj, katika jimbo la kaskazini magharibi la Alborz.
Iran yasisitiza itaiadhibu Israel kwa kushambulia ubalozi
Iran imesisitiza itaiadhibu Israel kwa shambulizi la anga dhidi ya ubalozi wake mdogo nchini Syria.
Netanyahu: Tutajibu iwapo Iran itatushambulia
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametishia kuchukua hatua nzito iwapo Iran itaishambulia nchi yake.
Raisi: Iran italipa kisasi shambulio la ubalozi wetu Syria
Rais wa Iran amesema kwa mara nyingine nchi yake itajibu shambulizi dhidi ya jengo la ubalozi wa Iran nchini Syria
Kipi kinafuatia baada ya Israel kuushambulia ubalozi wa Iran
Ahmed Rajab anafafanuwa dhamira ya Israel kushambulia wale wanaoonekana kuwa washirika wa Iran.
Iran italipiza kisasi dhidi ya walioushambulia ubalozi wake
Iran imesema italipa kisasi dhidi ya walioushambulia ubalozi wake mjini Damascus.
Iran yaapa kujibu mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Damascus
Rais wa Iran amelaani shambulio la anga la Israel katika ubalozi wake mdogo nchini Syria.
Watu wanane wauawa katika mlipuko wa bomu Syria
Shirika la Haki za Binaadamu la Syria limesema watu zaidi ya 20 walijeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya gari.
Matangazo ya Mchana 30.03.2024
Wajumbe wa ngazi ya juu wa Israel kuanza tena mazungumzo ya kusitisha vita Gaza. // Urusi yalaani mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria // Waziri Mkuu wa Poland aonya kuwa Ulaya imeingia enzi za kabla ya vita.
Urusi yalaani mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria
Urusi imelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel nchini Syria, ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40.
Wanajeshi 36 wauwawa katika shambulizi la Israel, Aleppo
Mashambulizi hayo yalitokea katika eneo la Jibreen karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Aleppo
Wapiganaji 9 na kamanda wauwawa kwa mashambulizi Syria
Shirika la kutetea haki za binadamu Syria limesema wapiganaji wapatao 9 wameuawa katika mashambulizi ya angani.
Macron asema IS imehusika katika shambulizi la Moscow
Ikulu ya Kremlin imekataa kutoa tamko kuhusu madai ya kuhusika kwa kundi la IS katika shambulizi la Moscow.
Macron asema kundi la IS lilitekeleza shambulio la Moscow
Magaidi waliwaua watu 137 mjini Moscow katika ukumbi wa matamasha
Urusi yawaomboleza waliokufa kwenye tamasha
Rais Vladimir Putin aapa kuwawajibisha waliohusika na shambulizi hilo la tamashani lililosababisha vifo vingi.
UN inasaka msaada wa dola bilioni 4 kuwasaidia raia wa Syria
Jamii ya kimataifa imetahadharishwa kutochukua hatua kutasababisha mateso zaidi kwa raia wa Syria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 71
Ukurasa unaofuatia