You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
22.01.2025
22 Januari 2025
UN yatafuta dola milioni 910 kusaidia Nigeria kaskazini
16.01.2025
16 Januari 2025
Senegal kukutana na Nigeria, Sudan kwenye CHAN
13.01.2025
13 Januari 2025
Mashambulizi ya kijeshi yasababisha vifo vya raia Nigeria
11.01.2025
11 Januari 2025
Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Watu 19 wauawa kwenye shambulio la makazi ya rais Chad
Watu 19 wauawa kwenye shambulio la makazi ya rais Chad
Washambuliaji hao walivamia eneo la makazi ya rais wakitaka kulidhibiti eneo hilo.
China: Ushirikiano na Afrika ni njia ya ukuaji wa pamoja
China: Ushirikiano na Afrika ni njia ya ukuaji wa pamoja
Wachambuzi wanasema ziara hii inalenga kufanikisha ukuaji wa pamoja kati ya pande hizi mbili.
Matangazo ya mchana: 30.12.2024
Matangazo ya mchana: 30.12.2024
Jimmy Carter, Rais wa zamani wa Marekani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100++Maafisa wa Korea Kusini waomba kibali cha kukamatwa kwa rais aliyesimamishwa Yoon Suk Yeol++ Mkuu wa WHO atoa mwito kwa Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza.
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Ebaide Joy anakusudia kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza wa kiafrika kusafiri kwa pikipiki kutoka Mombasa hadi Lagos. Miaka 10 iliyopita Ebaide alipata ajali mbaya ya mgongo lakini sasa amepona na bado anataka kutimiza ndoto zake.
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Zaidi ya shule 14,000 katika maeneo hayo zilifungwa katika robo ya pili ya 2024, ikiwa ni sawa na shule 1,000 zaidi.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Je, Germany inapaswa kupanua ushirikiano kanda ya Sahel?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aliashiria mwaka jana umuhimu wa ukanda wa Sahel kwa nchi yake.
Madai ya ubakaji dhidi ya TB Joshua yawatikisa Wanjilisti
Mwinjilisti wa televisheni wa Nigeria marehemu TB Joshua anatuhumiwa kufanya unyanyasaji mkubwa wa kingono.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Je, Rais Bola Tinubu ndio suluhu ya matatizo ya Nigeria?
Wachambuzi wanatilia shaka ikiwa kiongozi huyo ni mtu sahihi wa kukabiliana na changamoto chungu nzima zinazomngojea.
Maudhui yote (964) kwenye mada hii