Bajeti ni mpango wa muda unaoelezea mapato na matumizi hasa ya serikali katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.