William Kipchirchir Samoei Arap Ruto ni mwanasiasa wa Kenya.Amekuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya tangu Septemba 13, 2022. Pia amekuwa kiongozi wa chama cha UDA tangu kilipobadili jina kutoka PDR mnamo 2020.