1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Warembo wenye ulemavu wa kusikia barani Afrika

8 Oktoba 2021

Mrembo Josephine Kiden toka Sudan Kusini ametwaa taji lakuwa mrembo namba moja Afrika kwa upande wa wanawake,akifuatiwa na mrembo namba mbili Khadija Kanyama toka Tanzania.

https://p.dw.com/p/41SZ0