1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wake wa nje ya ndoa kutopata mirathi

Grace Kabogo/Zaja MMT_18 Novemba 2021

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesaini kuwa sheria muswada ambao utawazuia wanawake ambao hawako ndani ya ndoa kurithi mali kutoka kwa wapenzi wao pindi wanapofariki. Muswada huo unawatambu wake halali tu wa ndoa, watoto na wengine waliotajwa kwenye muswada huo. Lengo la muswada huo ni kuzuia migogoro ya mara kwa mara. Grace Kabogo alizungumza na Hamisa Zaja, mwanaharakati wa masuala ya wanawake.

https://p.dw.com/p/43Brg