1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroMamlaka ya Palestina

Tizama namna Wapalestina wanavyopambania mkate

31 Oktoba 2024

Wapalestina waliokimbia makazi yao huko Gaza wanatamani sana kupata chakula. Wengi hupanga foleni kwa muda mrefu kila siku ili tu kupata mkate. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani linasema halijaweza kuwafikia wale wanaohitaji msaada muhimu: "Maelfu katika maeneo ya kaskazini waliokatishwa tamaa kabisa na wanakabiliwa na hali mbaya sana." #kurunzi

https://p.dw.com/p/4mSf8
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio