You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Picha: DW/L. Richardson
Lilian Mtono
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Lilian Mtono
Taarifa zilizoonesha na Lilian Mtono
Vita nchini Kongo yaongeza mzozo wa afya ya akili
Makundi zaidi ya 100 yanapmbania eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenye utajiri wa madini
Vita vya Gaza vinavyounganisha Uturuki na Misri
Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sissi anazuru Uturuki baada ya miaka 14 madarakani na kurekebisha uhusiano.
Darfur Kaskazini yatishiwa na njaa kali
Sudan imekumbwa na vita vilivyosababisha mzozo mkubwa kabisa wa kibinaadamu ambao haujashuhudiwa ulimwenguni.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Lilian Mtono
Taarifa na Lilian Mtono
Wanawake wa Lebanon wakabiliwa na kitisho cha uzazi salama
Wanawake wa Lebanon wakabiliwa na kitisho cha uzazi salama
Nchini Lebanon, idadi ya mimba kuharibika na watoto kuzaliwa mapema imekuwa ikiongezeka kwa sababu watu hulazimika kukimbia kila leo, kulinda usalama wao kutoana na mashambulizi ya Israel. DW imezungumza na mama huyu anayepigania uhai wa mwanae hospitalini.#kurunziwanawake
Trump: Ushindi huu ni mageuzi makubwa ya kisiasa
Trump: Ushindi huu ni mageuzi makubwa ya kisiasa
Donald Trump ameshinda urais wa Marekani akimshinda mpinzani wake Makamu wa rais wa sasa Kamala Harris. Trump anarejea madarakani baada ya kundwa kwenye uchaguzi uliopita wa 2020.
Harris kuchuana vikali na Trump. Nani kuibuka mshindi leo?
Harris kuchuana vikali na Trump. Nani kuibuka mshindi leo?
Kamala Harris na Donald kuchuana katika uchaguzi mgumu zaidi nchini Marekani
Tizama namna Wapalestina wanavyopambania mkate
Tizama namna Wapalestina wanavyopambania mkate
Wapalestina waliokimbia makazi yao huko Gaza wanatamani sana kupata chakula. Wengi hupanga foleni kwa muda mrefu kila siku ili tu kupata mkate. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani linasema halijaweza kuwafikia wale wanaohitaji msaada muhimu: "Maelfu katika maeneo ya kaskazini waliokatishwa tamaa kabisa na wanakabiliwa na hali mbaya sana." #kurunzi
Hali ya uhusiano kati ya Ujerumani na Marekani
Hali ya uhusiano kati ya Ujerumani na Marekani
Uhusiano wa Marekani na Ujerumani mwaka 2024 ukoje?
Israel yafanya mashambulizi nchini Iran
Israel yafanya mashambulizi nchini Iran
Israel imesema inalipiza kisasi cha mashambulizi yaliyofanywa na Iran na washirika wake wa kikanda kwa muda mrefu.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo