Israel imefanikiwa kumuua kiongozi wa kundi la Hizbullah nchini Lebanon, Hassan Nasrallah, katika mashambulizi yaliyowaangamiza pia mamia ya raia wa kawaida mjini Beirut. Suali kubwa ni kipi kinachofuatia sasa baada ya mauaji haya? Ahmed Rajab anachambua.