1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Naibu Waziri wa Ujerumani ahitimisha ziara barani Afrika

thelma4 Novemba 2022

Ujerumani imeahidi kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kimkakati kama njia ya kudumisha amani ulimwenguni. Naibu Waziri wa masuala ya kigeni wa Ujerumani kwa bara la Afrika Katja Keul amehitimisha ziara yake ya Afrika iliyoanzia Cameroon wiki hii kwa kuitembelea Kenya.Tayari amekutana na viongozi wa serikali wa nchi hiyo na kuusisitizia umuhimu wa ushirikiano.

https://p.dw.com/p/4J411