1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Museveni: Nitawaangamiza waasi wa ADF wasipojisalimisha

21 Desemba 2022

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa onyo kwa kundi la wapiganaji la ADF kwamba wataangamizwa wasipojisalimisha japo onyo hilo limepokelewa kwa maoni mseto na raia wa Uganda. Akihutubia taifa usiku wa kuamikia leo, Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kali kwa kundi hilo kuachana kabisa na mienendo yao la sivyo harakati za kijeshi dhidi yao zitaendelea. Sikiliza ripoti ya Emmanuel Lubega.

https://p.dw.com/p/4LGoU