You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
31.10.2024
31 Oktoba 2024
Papua New Guinea yatangaza kususia mkutano wa COP29
29.10.2024
29 Oktoba 2024
Viongozi wa juu wahudhuria mkutano wa mazingira Colombia
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Kina cha maji katika Ziwa Turkana kimeongezeka
Kina cha maji katika Ziwa Turkana kimeongezeka
Ziwa Turkana lililoko kaskazini mwa Kenya ni la kipekee duniani kwani ni la jangwani na lenye umuhimu kwa wavuvi.
Mashirika ya kiutu yaonya juu ya kitisho cha njaa duniani
Mashirika ya kiutu yaonya juu ya kitisho cha njaa duniani
Hali mbaya ya hewa ni sababu kuu huku ukosefu wa usawa wa kiuchumi na madeni makubwa katika nchi.
Marais wa nchi wanacahama wa COMESA wakutana Bujumbura
Marais wa nchi wanacahama wa COMESA wakutana Bujumbura
Mkutano wa 23 wa kilele wa marais wa nchi za Jumuiya ya Soko la Pamoja COMESA umefanyika nchini Burundi.
Mkutano wa Jumuiya ya Madola wamalizika nchini Samoa
Mkutano wa Jumuiya ya Madola wamalizika nchini Samoa
Mataifa ya Kiafrika, Karibean na Pasifiki yanaitaka Uingereza na mataifa mengine yaliyokuwa na makoloni yalipe fidia
Kongamano la ulinzi wa mazingira COP16 laanza Colombia
Kongamano la ulinzi wa mazingira COP16 laanza Colombia
Hatua za haraka zahitajika kudhibiti uharibu wa bioanuwai unaotokana na shughuli za binadamu.
Idadi ya ndovu Kenya yafikia 36,280: KWS wahamisha ndovu 50
Idadi ya ndovu Kenya yafikia 36,280: KWS wahamisha ndovu 50
Idadi ya ndovu imepanda kutoka wanyama 16,000 mwaka 1989 hadi zaidi ya 36,000 na sasa wanaleta tatizo la kiekolojia.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Vijana waitisha maandamano zaidi duniani ya mazingira
Hapa Ujerumani miji kadhaa inafanya maandamano hayo ingawa kunatarajiwa idadi ndogo kulinganisha na kipindi cha nyuma.
Watetezi karibu 200 wa mazingira waliuawa 2023
Colombia kwa mara nyingine inashikilia rekodi ya kuwa nchi isiyo salama kanda ya Amerika ya Kusini kwa wanaharakati hao.
WFP yatoa matumizi ya teknolojia katika maeneo kame Kenya
Idadi kubwa ya wakaazi wa majimbo yenye ukame wamekuwa wakitegemea misaada ya vyakula serikalini na mashirika ya kiutu.
Ukosefu wa rutuba ya udongo watatiza wakulima Afrika
Shirika linalopigia upatu mageuzi ya Kilimo barani Afrika la AGRA linapendekeza wakulima wapime tindikali katika udongo.
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.
Je, ni nini maana ya upotoshaji kuhusu tabia nchi?
Habari potofu na uwongo pia huchapishwa na baadhi ya vyombo vya habari au kusambazwa na wanasiasa wanaopenda umaarufu.
Maudhui yote (691) kwenye mada hii