JamiiHofu ya vijana kutekwa wakati wa maandamano ya KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii09.07.20249 Julai 2024Baadhi ya wazazi nchini Kenya hawajawaona watoto wao tangu yafanyike maandamano ya hivi karibuni ya kuipinga serikali. Wana wasiwasi kwamba vijana wao huenda wametekwa kutokana na ushiriki wao katika maandamano hayo. https://p.dw.com/p/4i1GGMatangazo