Giorgia Meloni ndiye Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Italia, akiongoza serikali ya mrengo mkali zaidi wa kulia tangu kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.