1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika yaweka historia Soka la wanawake duniani

4 Agosti 2023

Timu tatu kati ya nne za Afrika zimetinga hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2023. Nyingi kuliko ilivyowahi kutokea. Simba wa Taranga ya Morocco, Super Falcons ya Nigeria na Banyana Banyana ya Afrika Kusini wamelifanya bara zima kujivunia.

https://p.dw.com/p/4UnH6
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio