Rais wa Iran Ebrahim Raisi yuko Uganda baada ya kuzuru Kenya, likiwa taifa la pili katika mataifa matatu ambayo anafanya ziara yake ya kihistoria. Mchambuzi wetu wa siasa za Kanda ya Maziwa Makuu, Ali Mutasa anaeleza yapi matarajio ya Afrika kwa ziara hii