SiasaXi Jinping awasili Afrika KusiniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJosephat Charo24.07.201824 Julai 2018Rais wa China Xi Jinping amewasili nchini Afrika Kusini leo kwa ziara rasmi ya kiserikali kabla kufanyika mkutano wa viongozi wa nchi zilizostawi na zinazoinukia kwa kasi kiuchumi, BRICS. https://p.dw.com/p/321ayMatangazo