1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi juu ya uwezekano wa kutokea vita vya tatu vya dunia

Saumu Yusuf26 Aprili 2022

Barani Ulaya wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya tatu vya dunia unazidi kuzungumziwa hasa kutokana na kauli nzito zinazotolewa na viongozi wa nchi zenye nguvu duniani kuhusu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Saumu Mwasimba amezungumza na mwanadiplomasia wa zamani ambaye pia ni jenerali mstaafu kutoka Tanzania Francis Mndolwa juu ya hofu hiyo.

https://p.dw.com/p/4ASbI