JamiiWaislam wa Tanzania washerehekea Eid-el-AdhaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii21.07.202121 Julai 2021Waislamu nchini Tanzania wanasherehekea sikuukuu ya Eid Al Adha ambayo itaendelea kwa siku tatu. Sala ya Iddi leo imefuatiwa na kuchinja wanyama, ambapo nyama baadae hutolewa kwa jamii marafiki na wasiojiweza.https://p.dw.com/p/3xmr8Matangazo