Makala ya Vijana Tugutuke safari hii inaangazia kadhia ya vijana kujihusisha na dawa za kulevya. Veronica Natalis amezuru mtaa wa Njoro kule Moshi Kilimanjaro nchini Tanzania na anakutana na wahanga wa mihadarati. Changamoto zao na juhudi za kujikwamua kutokana na janga hilo ni zipi? Hebu sikiliza.