Wagiriki wapiga kura katika uchaguzi wa bunge
21 Mei 2023Matangazo
Kwa mujibu wa uchungzi wa maoni chama cha upinzani cha mrengo wa shoto cha Syriza, kikiwa na mgombea wake mkuu waziri mkuu wa zamani Alexis Tsipras kinabashiriwa kuchukua nafasi ya pili.Kura za maoni za hivi karibuni zilionyesha chama cha Mitsotakis kitapata karibu asilimia kilifuatwa na Syriza kwa asilimia 7.Takriban wapiga kura milioni 9.8 waliotimiza masharti ya kupiga kura wanaweza kuchagua miongoni mwa vyama 36 vilivyosajiliwa.Baada ya zoezi la kupiga kura vituo vya kupiga kura vitafungwa saa moja usiku. Na matokeo yanatarajiwa kuanza kutolewa kuanzia saa mbili usiku wa leo.