1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBrazil

Wafuasi wa rais zamani wa Brazil wavamia majengo ya utawala

Josephat Charo
9 Januari 2023

Wafuasi wa rais aliyeondoka madarakani nchini Brazil Jair Bolsonaro wameyavamia majengo ya Bunge, Mahakama ya Juu na makaazi ya rais kupinga utawala mpya wa mwanasiasa wa mrengo wa shoto Luiz Inacio Lula da Silva aliyeapishwa wiki moja iliyopita kuliongoza taifa hilo. Sikiliza mahojiano kati ya Josephat Charo na Mohammed Abdulrahman, mwandishi wa zamani wa DW anayefuatilia siasa za kimataifa.

https://p.dw.com/p/4LtpC