AfyaAfrikaVirusi vya Marburg ni hatari kiasi gani?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAfrikaHawa Bihoga20.01.202520 Januari 2025Tanzania imethibitisha kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Marburg Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mlipuko wa sasa unakadiriwa kuwa na hatari kubwa ya kuenea Tanzania na nchi jirani. Je virusi hivi ni hatari kiasi gani?https://p.dw.com/p/4pOX1Matangazo