Wakati mchakato wa ufikishwaji misaada hasa nchini Syria ukiendelea, suala la nchi hiyo kuwekewa vikwazo kutokana vita vilivyodumu zaidi ya muongo mmoja, linajitokeza. Je vikwazo hivyo vimezorotesha ufikishwaji misaada nchini humo? Lilian Mtono amezungumza na mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kimataifa Abdul Fatah Musa aliyeko Tehran, Iran kuhusu hilo.