Hivi Karibuni machafuko au vurugu za chuki dhidi ya wageni zilizotokea nchini Afrika Kusini, zimeendelea kuzusha mjadala mkubwa hasa ndani ya bara la Afrika. Salma Said ameliangalia hilo kwa kujadili na vijana wa kisiwani Zanzibar katika kipindi cha Vijana Tugutuke.