Vijana wa Zanzibar ni miongoni mwa raia wengi wa kigeni waloikwenda nchini Afrika Kusini kutafuta maisha, na kujikuta wakinasa katika machafuko yaliosababishwa na mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni nchini humo. Kutokana na mashambulizi hayo, Salma Said alikutana na vijana walioko nyumbani kuzungumzia mashambulizi hayo na iwapo bado wana ndoto ya kwenda Afrika Kusini. Makala ni Vijana Tugute.