1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaTanzania

Vijana wa Moshi wazungumzia Krismasi

25 Desemba 2022

Ni msimu wa sikukuu ya Krismasi ambapo wakristo kote ulimwenguni wanasherehekea kuzaliwa kwa Mwekozi Yesu Kristo. Mwandishi wetu wa Arusha, Veronica Natalis, anazungumza na vijana wa Moshi mkoani Kilimanjaro huko nchini Tanzania kuhusu Krismasi.

https://p.dw.com/p/4LQAH