AfyaAfrikaVijana hupendelea njia zipi za uzazi wa mpango?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAfrika26.09.202326 Septemba 2023Wewe kama kijana unayo haki ya kufahamu njia tofauti na za kisasa juu ya uzazi wa mpango au vipi unaweza kufuatilia njia za asili. Septemba 26 ni siku ya uzazi wa mpango duniani. Vijana wanaeleza uelewa wao kuhusu uzazi wa mpango. https://p.dw.com/p/4WpgwMatangazo