Uzazi wa Mpango – Kipindi 4 – Vidonge vya ajabu na mtizamo mpya
16 Machi 2011
Desirée anaufanyia mazoezi wimbo ambao yeye na Lorraine wanataka kuuwasilisha katika shindano la Bongo. Hata hivyo anabaini kitu kipya kuhusiana na rafiki yake huyo mkubwa. Eric anabaini kuwa anahisia kubwa na Desirée