Muziki wa HipHop ni miongoni mwa aina za muziki wa kale Marekani uliohusisha hasa kizazi cha Wamarekani weusi na ni mtindo wa muziki uliotumika kueneza harakati za kumkomboa Mmarekani mweusi. Miaka 50 iliyopita Hiphop ilizaliwa huko NewYork wakizaliwa baadae wanamuziki wengi waliokuja kupata umaarufu mkubwa sio tu ndani ya Marekani na Ulaya lakini mpaka barani Afrika. Msikilize Saumu Mwasimba.