1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Utamaduni na Sanaa: Chanjo ya jadi

Alex Mchomvu3 Mei 2023

Fahamu kuhusu makabila ya Tanzania yanayofuata utamaduni wa kuwachanja chale watu wake wakiamini ni chanjo ya kimila ili kuwakinga na balaa, ushirikina (Kulogwa) na mikosi dhidi ya watu wabaya

https://p.dw.com/p/4QpFt