1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urusi yateka wilaya tatu Ukraine

22 Aprili 2023

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu

https://p.dw.com/p/4QRQc
Ukraine | Krieg | Zerstörung in Bachmut
Picha: Adam Tactic Group/Handout/REUTERS

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko Ukraine.Jeshi la Urusi wakati mwingine inayaeleza mashambulizi ya kundi la wapiganaji mamluki kutoka kampuni ya Kirusi ya Wagner kama vikosi vya ushambuliaji.Vikosi vya Ukraine na Urusi vimekuwa katika makablianao kwa miezi kadhaa katika eneo la mashariki mwa mji huo Bakhmut ambao kwa sehemu kubwa umebaki kuwa magofu.